Inakuwaje mashoga na wasagaji Wana afya Bora na maisha mazuri kuliko wale Wacha Mungu wengi woa wanaishi kwa msoto kwenye hii safari ya maisha?

Inakuwaje mashoga na wasagaji Wana afya Bora na maisha mazuri kuliko wale Wacha Mungu wengi woa wanaishi kwa msoto kwenye hii safari ya maisha?

Mkuu kama ni me wewe kuwa punga na kama ni ke kuwa msagaji ili uwe na maisha mazuri, Wachamungu tuache tumche Mungu wetu.
Wewe ni mchamungu? Una sifa za kuwa mchamungu?? Kwa namna ulivyo andika inaonekana kabisa yeye na papara na uwezo mdogo kifikra mchamungu anajitaja?? Mshenzi kweli wewe...
Mk*ND wako
 
Nafikiri watu wengi wajinga au wenye UPEO mdogo hawajui maana ya Ucha MUNGU

Huwezi kuwa mcha Mungu ukawa na sifa alizotaja Mtoa Mada.

Quran na Biblia zote zina wacha Mungu na hakuna hata Mmoja aliyekuwa Mlalahoi at the end.
Kumbuka the end justify the meaning
Ibrahim alikuwa tajiri mpaka anamiliki jeshi.

Na ndio baba wa imani.
 
Nimefatila kwa kina nimebaini kuwa wale wanaoliwa viboga na wale wasagaji wengi wao wanaishi maisha mazuri tu na maisha mazuri ila

Wale wenye Imani Kali ya dini huishia kuhangaika tu kula vumbi.

Ina maana Mungu amewaumba wachamungu waje kupata matatizo hapa duniani??

Mashoga
Majambazi
Wasagaji
Matrasgenders
Wachawi watumia majini
Walozi

Wanaisha mazuri mazuri kuliko wachamungu
HUU ULIMWEMGU HAUKO HIVYO UNAVYIFIKIRIA WEWE , KADIRI UNAVOKUA MUOVU MAANAKE INAKUA RAHISI KUPATA PESA KWA SABABU HUCHAGUI CHANZO INAWEZA KUA POMBE , UMALAYA, UJAMBAZI , RIBA , MAUAJI, WIZI, HUKO KOTE KUNA PESA BWERERE, LAKINI KAMA NI MTU WA DINI MAANAKE UTAFUATA SHERIA HIVYO PESA ZOTE ZA HARAMU UTAZIKWEPA
 
Umepata wapi ujasiri kuandika huu uchafu? We unawatambuaje maana mtu km siwezi kumtambua yupi shoga au msagaji. Huna ht haya? We ni wakala wa shetani.
 
HUU ULIMWEMGU HAUKO HIVYO UNAVYIFIKIRIA WEWE , KADIRI UNAVOKUA MUOVU MAANAKE INAKUA RAHISI KUPATA PESA KWA SABABU HUCHAGUI CHANZO INAWEZA KUA POMBE , UMALAYA, UJAMBAZI , RIBA , MAUAJI, WIZI, HUKO KOTE KUNA PESA BWERERE, LAKINI KAMA NI MTU WA DINI MAANAKE UTAFUATA SHERIA HIVYO PESA ZOTE ZA HARAMU UTAZIKWEPA
Ahsante shukran sana
 
Ni kipi kimepelekea uje na jibu la moja kwa moja kama hivi?

Jeh hao wote uliowataja hawana biashara zao wanaozofanya??, hawana kazi ya aina yoyote wanayofanya?

Unataka kusema kufirwa na kusagwa pekee ndo kunapelekea wao kuwa na maisha mazuri na afya njema??!!
 
Back
Top Bottom