Inakuwaje mashoga na wasagaji Wana afya Bora na maisha mazuri kuliko wale Wacha Mungu wengi woa wanaishi kwa msoto kwenye hii safari ya maisha?

Inakuwaje mashoga na wasagaji Wana afya Bora na maisha mazuri kuliko wale Wacha Mungu wengi woa wanaishi kwa msoto kwenye hii safari ya maisha?

Ni kipi kimepelekea uje na jibu la moja kwa moja kama hivi?

Jeh hao wote uliowataja hawana biashara zao wanaozofanya??, hawana kazi ya aina yoyote wanayofanya?

Unataka kusema kufirwa na kusagwa pekee ndo kunapelekea wao kuwa na maisha mazuri na afya njema??!!
Maana ya ipo hivi! Katika hii Dunia asilimia kubwa ya watu waliofanikiwa wapo kinyume na Mungu ana wengi ambao wapo katika misingi ya Imani maisha yao yapo chini sina jibu la moja kwa moja kama wachangiaji wengine wanavyomaanisha
 
Mbona chibu ana afya njema tu mbona burna boy ana afya njema? Mbona Eminem ana afya njema mbona wapo wengi Wana afya njema??

Alafu issue sio mtu anataka kuadapt behavior ni suala la kuelekezana nashangaa mtu anakuja na matusi
Unasemea mtu wa kuliwa siku moja kama dawa,huyo siyo shoga
 
Sijui umewaza nini kwenye maisha madaraja yapo watu wa design hiyo wapo maskin tena ni wengi na wenyr uwezo wachache kwahiyo usidhan ukiingia humo utakua salama
 
Maana ya ipo hivi! Katika hii Dunia asilimia kubwa ya watu waliofanikiwa wapo kinyume na Mungu ana wengi ambao wapo katika misingi ya Imani maisha yao yapo chini sina jibu la moja kwa moja kama wachangiaji wengine wanavyomaanisha
Nakuuliza tena ni vetting ya Aina gani uliyofanya mpaka kuja na jibu la kwamba "ambao wapo kinyume na Mungu "??

Huo uchunguzi umeufanyia nchi gani ,, ni Tanzania hii hii tu au duniani kote?
 
Mimi naweza kukukula siku moja,sio kuliwa
Sasa kwanini uwasemee wenzio wanao liwa siku moja sio mashoga nadhani utakuwa na experience kubwa sana kuhusu kuliwa thus why unaweza kutofautisha na kuliwa kwa mfano dhahiri
Anyway sikujibu tena
 
Vipi tangu wewe umeanza kuliwa Kuna mafanikio yoyote umeyapata mpka unanishawishi?
Mbona unajisitukia hadithi umeleta wewe, uzoefu unao wewe, mimi nausikaje tena huko. Wewe ndo uko nao umepima mafanikio yako na yao ukaona wanakuzidi, umeleta hoja tukushauri tunakushauri nini kwa kitu ambacho hatujui. Mpaka umekuja umeshafanya reserch ukawa na sample size yako, ukainalyze na hatimaye umehitimisha kuwa wao mashoga wamefanikiwa kuliko wewe na unatamani mafanikio yao njia ni rahisi tu jiunge nao. ( If you cannot beat them join them)
 
Nakuuliza tena ni vetting ya Aina gani uliyofanya mpaka kuja na jibu la kwamba "ambao wapo kinyume na Mungu "??

Huo uchunguzi umeufanyia nchi gani ,, ni Tanzania hii hii tu au duniani kote?
Naomba nikujibu kwa fact na sio opinions kama unavyo maanisha
Nitajie mtu mmoja mashuhuri duniani Ambae kwa uewelewa wako unaona kabisa na successful person me or ke alafu nikupe fact
 
Mbona unajisitukia hadithi umeleta wewe, uzoefu unao wewe, mimi nausikaje tena huko. Wewe ndo uko nao umepima mafanikio yako na yao ukaona wanakuzidi, umeleta hoja tukushauri tunakushauri nini kwa kitu ambachoni hatujui. Mpaka umekuja umeshafanya reserch ukawa na sample size yako, ukainalyze na hatimaye umehitimisha kuwa wao mashoga wamefanikiwa kuliko wewe na unatamani mafanikio yao njia ni rahisi tu jiunge nao. ( If you cannot beat them join them)
Wewe ni mpumbavu kabisa nioneshe sehemu niliposema I want to join them au I'm interested with them nioneshe broo! Tatizo hujui hata kusoma alama za uandishi unajua maana ya ? Anyway sibishani na watu wenye thinking capacity ndogo kama wewe.
Sikujibu tena
 
Kuna watu wenye hila walisambaza propaganda kuwa watu wa Mungu ni Maskini
Huwezi kuwa mtu wa Mungu ukawa maskini.

Historia ya wacha Mungu wote ni utajiri. Biblia inathibitisha hilo.

Umasikini sio mpango wa Mungu kwa wanadamu.
 
Back
Top Bottom