Inakuwaje mashoga na wasagaji Wana afya Bora na maisha mazuri kuliko wale Wacha Mungu wengi woa wanaishi kwa msoto kwenye hii safari ya maisha?

Inakuwaje mashoga na wasagaji Wana afya Bora na maisha mazuri kuliko wale Wacha Mungu wengi woa wanaishi kwa msoto kwenye hii safari ya maisha?

Wale wanashikana mikono sana. Wanasapotiana mno, Wanajiujua wanashida ndomana wanashirikiana.
 
Ungana nao mkuu upate maisha yasio na kona kona
 
Hata shetani ana afya nzuri ila kutwa nzima anatukanwa na hakuna anayemkubali hadharani.
 
Kutembea na pampasi tena! Nje naonekana smart ndani najinyea, ...hapana kwakwel
 
Kwani mwenzetu unatumia kigezo gani kujua mtu ana afya bora?
 
ila wamesagika mno maeneo wanayosaga,

usugu na weusi wa kutisha umeharibu unaturality wa mbususu, na imekua ina sura mbaya ya kutisha mno, utadhani sijui dubwasha gani 🐒
 
Ndomana sahv vijana wengi wanaflwww wakipewa iPhone, gari crown akipangiwa sehemu kwishaa anarchists mndkkk

Ova
 
Nafikiri watu wengi wajinga au wenye UPEO mdogo hawajui maana ya Ucha MUNGU

Huwezi kuwa mcha Mungu ukawa na sifa alizotaja Mtoa Mada.

Quran na Biblia zote zina wacha Mungu na hakuna hata Mmoja aliyekuwa Mlalahoi at the end.
Kumbuka the end justify the meaning
acha kusingizia Qur'an kwenye pumba zako
 
Back
Top Bottom