Inakuwaje mtu anamaliza degree hajui kuongea English?

Ex minister wa elimu wa awamu ya 5 alishindwa kuongea English iliyonyooka kwenye kongamano la elimu na PhD yake sembuse degree holder?

Hebu msiwape stress vijana wa watu. Cha muhimu contents aliyonayo kichwani sio English yake anayoizungumza
Tena amefundisha kwa mda mrefu UDSM!
 
Si shangai tulitawaliwa na rais aliejua kuandika english lakini hajui kuongea kingereza...🀣🀣🀣
 
So What?

Mbona Uingereza na Marekani ambazo ni nchi mbili kwa ukubwa wa kuongea Kiingereza lakini wanafunzi wanafeli kwenye Lugha yao? Hawajui Viongozi wao?Hawajui Kuandika?
Hawajui Africa ni Bara bali ni Nchi na Kiingereza chote! C'mon be serious.

Pathetic.

Umeshaona wakiandika? yaani jitu zima lakini kuandika hawezi yaani kama mguu wa kuku unavyoacha alama udongoni

Wacha propaganda hasi kwa watu wa Afrika. Toka uhamie huko kwenye GPA sijui madudu gani kazi kuuwana kufirana tuu. Shenzy taipu Ati engrishh

Please stop your bigoted and Racist propaganda. You are not doing this country any favors by spreading your bottom. and Spreading lies!

Stop it.
 
Afrika yote ya nini we hangaika na huyo mtu wako au pengine ni wewe kabisa. Africa wakati watoto wa primary wanajua hiyo lugha hapa bongo
 
malecture ndio nini? We mwenyewe umejitathmini? WE mwenyewe bongolala acha kuzungumzia wenzio pambana na hiyo hali yako yenyewe
 
Elimu yenyewe hii ya kuwaza kwa kiswahili Kisha unaandika kwa kiingereza?

Mwalimu akisahihisha mitihani anakukaripia kwa kiswahili pale ulipokosea alafu anakuandikia jibu sahihi kwa kiingereza. Huwezi kujua kiingereza au lugha yoyote kwa staili hii.
 
Must be President Trump. ha ha Si shangai?
Hata trump alikua anaongea blackAmerican slang ila sio really america English 🀣🀣🀣

Hapa Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ namkumbuka hayati Magufuli kwenye baadhi ya hotuba zake alivyokua akijitetea kwamba anajua kuandika kienglish na hata kuzungumza kiingereza in magu voice πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Utetezi wote huu kisa haitaki kujifunza kiingereza?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
**** la mmako nalo linazungumza aje.

Yaani wakati anakuzaa unafikiri alitaka uwe Mweusi au Mweupe?

Kamuulize akwambie shenzi wee
 
Aisee nalo mkalitazame lakini English hakuna Mtz anafahamu bila kuwa na jitihada binafsi .
 
Tatizo nyie Magaidi hamna Adabu.

Mna laana mbaya sana

Kwa kweli mtaja zeeka vibaya sana. Yaani mkitoka humu lazima tu mvimbirwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…