Inakuwaje mtu anatoa posa then anapangiwa mahali halafu anapotelea mitini? (Haoi)

Wanaume tuweni serious tusicheze na hisia za wachumba zetu, nashangaa kuona mtu anatoa mpaka posa anapangiwa mahali halafu anamkimbia bint hamuoi anaenda kuoa mwanamke mwingine, sijui tatizo huwa ni nini.
Unapangiwa mahari ambayo ni ya kikatili, utadhani wewe ndio unae taka wakati ni matakwa ya wote yaani kijana na binti mwenyewe, ifike mahala mahari itakayo tajwa igawanywe kwa mbili!
 
Haikatazwi kubadilisha mawazo mkuu. Lakini kwann hadi afikie hatua kubwa kama hiyo afu aniache solemba[emoji848]. Aisee asinijaribu kabisa
Je kama ww ndie.umezingua mahari 100 hapo nani kamjaribu mwingine usiangalie upande 1.
 
Yawezekana kabisa
 
Duh aisee
 
Huyo bint na wazazi wake ni vichaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…