Inakuwaje mtu anatoa posa then anapangiwa mahali halafu anapotelea mitini? (Haoi)

Gharama ya kumsomesha rubani ni milioni 200 kwa miaka yote minne, na serikali haikulipii, unalipa.

Chuo kipo Tanzania, practical mnafanya Afrika kusini kwa gharama zako, hakuna mtoto wa masikini anayeweza kusomea urubani.

So hata ungekuwa wewe, ungekubali mwanao rubani aolewe kwa milioni moja?
 
Nini kilitokea kwa rubani?
 
Hao mahari laki 7 kaka ila nyumbani ni story za mizengwe tu.... ikitokea umeanguka bahati mbaya si wanao wamepotea
Ukimwandaa vizuri hawezi kushindwa kuendelea mkuu, kwani hao wasomi mara ngapi wanaachwa na wanaishia kuwatesa watoto wao pasipo mpangalio ?
Swala kuisimamia familia ni akili ya mtu binafsi huyo wa darasa la saba ukimwandaq vizuri hata msomi hafui daf
 
Unakimbia vizuri.
Tunapomuona mwanamke unampenda (unatumia hisia) ila jinsi unavyokaa naye akili inaanza kutumika.
Kumbuka tunapo-oa siyo kwa ajili ya ngono ni kwaajili ya kujenga familia. Sasa umegundua mwanamke haeleweki, unategemea nini?
Yah upo sahihi
 
Haikatazwi kubadilisha mawazo mkuu. Lakini kwann hadi afikie hatua kubwa kama hiyo afu aniache solemba[emoji848]. Aisee asinijaribu kabisa
Kwa comment hii, nihitimishe kwamba ndoa kwako ni yathamani kuliko upendo..😊
 
Haikatazwi kubadilisha mawazo mkuu. Lakini kwann hadi afikie hatua kubwa kama hiyo afu aniache solemba[emoji848]. Aisee asinijaribu kabisa
Kama mahari haikuwa kubwa basi tuendelee tulipoishia naunga tela mimi.
 
Anaoa elimu au mwanamke?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…