Una hoja na unashahili kujibiwa.
Mimk Sijasoma Biblia ila ntajibu kwa upeo wa ufahamu wangu.
1. Kwanza jua kuwa hapo zaman watu walikuwa wanatoa sadaka ya kuteketeza. (Kuchinja/kuua mnyama au kuchoma mazao) ndio wapate utakaso.
Refer hadith zote za kuomba ondoleo la dhambi.
2. Yesu ni Mungu ila pia alichukua uwezo wa kibinadamu na kuish kama binadamu. na Ni kusudi la Mungu kwamba ajitoe yeye binafsi kama sadaka la ondoleo la dhambi ili sasa kupitia yeye watu wapate utakaso bila kuchinja au kuchoma mazao.
3. MUNGU angeweza kusema kuwa kuna msahama bila hiyo adhabu aliyopotia kwa mfano wa kibinadamu (Yesu) ila anatambua lila kosa lina hitaj adhabu. na yeye aliamua kubeba dhambi zote kwa kujitoa sadaka pale msalabani ili anayeamini asitoe tena sadaka bali kwa kuamini kuwa alikufa pale msalabani kwa ajili ya dhambi zetu.
Mengine
Setfree atamalizia.
Na pls usinikemee kuhusu pombe mtumishi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]