Inakuwaje mungu wao apigwe misumari kwenye msalaba na watu uliowaumba?

Inakuwaje mungu wao apigwe misumari kwenye msalaba na watu uliowaumba?

Yohana 4:24
[24]Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.
Mambo ya rohoni hajui chochote, anakuja kuuliza habari za misumari 😂😂

Wakati alipo na yeye binadamu wanamchapa dudu sana na hakuna kitu anafanya
 
Mimi safi sometimes naona hizi ni hekaya za abunuasi tu hivi inakuwaje wewe watu ndiyo ambao umewaumba then watu hao hao wakupigilie misumari kwenye msalaba bila kufanya kitu? Hivi vitu mbona tunaingizana chaka? Au mnatuonaje au na mimi naomba mnieleweshe basi
Mbona kuna dini flan wanampiga shetani mawe wakati hawamwoni?
 
Huwezi jadili mambo ya Rohoni mwilini ukapata majibu...

Mambo ya Rohoni ni ya Rohoni

Warumi 8:14-17 Wanaoongozwa na ROHO wa MUNGU hao ndio wana MUNGU...
 
Kum

Kumwelewesha Mpumbavu ni kama kumpigia Mbuzi Gitaa.


Mambo ya Kiroho utambuliwa na watu wa Rohini na sio watu wa mwilini.


Uzuri Mapepo yana Akili kuliko wapumbavu maana Mapepo yana Tambua Yesu ni Bwana lakini wapumbavu hawatambui.
utakuwa ww ndo mpumbavu mno! mtu anataka kueleweshwa.. na wenye akili kubwa kukuliko wanamuelewesha ww uliyekula kande za kuchacha unamuita mpumbavu why?
 
Mimi safi sometimes naona hizi ni hekaya za abunuasi tu hivi inakuwaje wewe watu ndiyo ambao umewaumba then watu hao hao wakupigilie misumari kwenye msalaba bila kufanya kitu? Hivi vitu mbona tunaingizana chaka? Au mnatuonaje au na mimi naomba mnieleweshe basi
Wairan wameanza kutoka katika upagani wa HADITHI HADITHI na Kumjua YESU KAMA MUNGU BWANA NA MWOKOZI WAO sasa ww shehe wa vibandani huko madrasa utawezaje kuchambua BIBLIA na kuijua hutokuwa na uelewa huo kamwe mpaka kizazi Chako Cha nne
 
Una ushahidi gani wa kuthibitisha kwamba Yesu hajawahi kuwepo?
Unataka uthibitisho wa namna gani kwa kisichokuwepo?

Unathibitishaje kisichokuwepo?

Yesu hayupo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika yupo.

Huyo Yesu ni hekaya za vitabuni tu kama alivyo Abunuwasi.
 
Unataka uthibitisho wa namna gani kwa kisichokuwepo?

Unathibitishaje kisichokuwepo?

Yesu hayupo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika yupo.

Huyo Yesu ni hekaya za vitabuni tu kama alivyo Abunuwasi.
Ok poa
 
Back
Top Bottom