Inakuwaje mungu wao apigwe misumari kwenye msalaba na watu uliowaumba?

Mkuu elewa ulicho quote,
Yesu hakudai kuwa Mungu kwa maana ya uungu wa kiupekee kama Baba, bali alieleza umoja wa kusudi, kazi na mamlaka kati yake na Baba.

Anaposema "Mimi na Baba tu umoja," ni umoja wa kiroho na kiutendaji, si utambulisho wa kuwa mtu yuleyule. Wayahudi walimwelewa vibaya, lakini Yesu alieleza wazi kwamba hata katika maandiko, wanaoitwa miungu ni wale waliopokea neno la Mungu – akisisitiza yeye hana kosa kusema yeye ni Mwana wa Mungu.
 
Karibu 😁

Naanzaje kuamini Uwepo wa mungu wakati sifa anazopewa na vitabu vyenu Zina contradiction kibao
Kuna vitu vidogotu Unaweza kutambua kama upo uwepo wa Mungu kama ukitafakari Wacha ujinga.

Hakuna kitu Ambacho kimejiweka chenyewe bila kuwekwa.

Umesha tafakari hii Dunia unayoishi MBINGU na Ardhi ilivyo?

Umesha waza uumbaji wake? Kama nyumba ujengwa na wanadamu umesha jiuliza MBINGU Nani Ameziweka?

Bati na paa ubebwa na nyumba umesha waza Anga Alina nguzo na Bado Anga lime simama.

Mfalme solomoni Ana sema namnukuu.

Mpumbavu usema Moyoni Hakuna Mungu.

Sasa tafakari wewe ni Mpumbavu Au mjinga?

Kuna tofauti ya Mpumbavu na Mjinga.

Mjinga ni yule hasiye jua ila Akijulishwa uwa mwerevu.

Mpumbavu ni yule Anaye jua lakini Anapinga Ukweli.
 
So Kwa hii argument yako una maanisha mungu nayeye pia kawekwa !? Umeona Sasa mnavyo ji-. Contradict Aliyekuambia Uwepo wa kitu lazima uwe umewekwa ni Nani !?
 
YESU sio MUNGU
Matendo ya mitume 3:13-26

Mathaya Mtakatifu 10:40-42
Unapo sema siyo Mungu Una jua Maana ya Umungu?

Nenda kasome kitabu cha yohana 3: utajua Alichokifunua Yesu.

Yesu Haongelei mambo ya Mwili Anaongelea mambo ya Rohini Ndugu ukiwa mjinga huwezi kumwelewa kama Nikodemo aliye shangaa mtu kuzaliwa mara ya pili.

Mimi ni Mwana wa Mungu kwa jinsi ya Roho na siyo Mwili.

Ndiyo maana kuokoka ni lazima na siyo Dini.

Wapo wenye Dini na Bado wanateseka na Nguvu za giza pamoja na kuwa na Dini.

Unapo okoka unapewa Roho mtakatifu una badilishwa kuwa Jinsi ya Mungu Rohoni na Mapepo hawakuwezi na Tunaishi kama watoto wa Mungu Ndicho Alicho kilete Yesu na hakulazimishi kuamini kama hutaki.

Lakini ukibanwa na manguvu ya giza ndipo tutaongea lugha Moja kwamba Yesu ni Bwana.

Sasa hivi Unaweza kukashifu sana juu ya Umungu wa Yesu ila siku ukibanwa utajua Yesu ni Mungu Au siyo Brother.
 
Siyo wote
So Kwa hii argument yako una maanisha mungu nayeye pia kawekwa !? Umeona Sasa mnavyo ji-. Contradict Aliyekuambia Uwepo wa kitu lazima uwe umewekwa ni Nani !?

So Kwa hii argument yako una maanisha mungu nayeye pia kawekwa !? Umeona Sasa mnavyo ji-. Contradict Aliyekuambia Uwepo wa kitu lazima uwe umewekwa ni Nani !?
Hapo Mwanzo Mungu Aliziumba MBINGU na Ardhi. Mwanzo 1:1

Hata shetani Anajua na kutetemeka.

Ukiona mtu ana pinga uwepo wa Mungu ujue huyo ni wakala wa shetani na kuzimu.
 
Unanikumbusha kisa cha haile selassie nae aliuwawa na walimwengu.
Hii inahusiana na mambo ya kiroho,unapo amini nakutukuza,pia kuna nafsi zipo kizani.
 
Unapo sema siyo Mungu Una jua Maana ya Umungu?

Nenda kasome kitabu cha yohana 3: utajua Alichokifunua Yesu.

Yesu Haongelei mambo ya Mwili Anaongelea mambo ya Rohini Ndugu ukiwa mjinga huwezi kumwelewa kama Nikodemo aliye shangaa mtu kuzaliwa mara ya pili.

Mimi ni Mwana wa Mungu kwa jinsi ya Roho na siyo Mwili.

Ndiyo maana kuokoka ni lazima na siyo Dini.

Wapo wenye Dini na Bado wanateseka na Nguvu za giza pamoja na kuwa na Dini.

Unapo okoka unapewa Roho mtakatifu una badilishwa kuwa Jinsi ya Mungu Rohoni na Mapepo hawakuwezi na Tunaishi kama watoto wa Mungu Ndicho Alicho kilete Yesu na hakulazimishi kuamini kama hutaki.

Lakini ukibanwa na manguvu ya giza ndipo tutaongea lugha Moja kwamba Yesu ni Bwana.

Sasa hivi Unaweza kukashifu sana juu ya Umungu wa Yesu ila siku ukibanwa utajua Yesu ni Mungu Au siyo Brother.
Matendo ya mitume 3:13-26
Mathayo mtakatifu 10:40-42
 
Siyo wote
So Kwa hii argument yako una maanisha mungu nayeye pia kawekwa !? Umeona Sasa mnavyo ji-. Contradict Aliyekuambia Uwepo wa kitu lazima uwe umewekwa ni Nani !?

So Kwa hii argument yako una maanisha mungu nayeye pia kawekwa !? Umeona Sasa mnavyo ji-. Contradict Aliyekuambia Uwepo wa kitu lazima uwe umewekwa ni Nani !?
Hapo Mwanzo Mungu Aliziumba MBINGU na Ardhi. Mwanzo 1:1

Hata shetani Anajua na kutetemeka.

Ukiona mtu ana pinga uwepo wa Mungu ujue huyo ni wakala wa shetani na kuzimu.
 
Siyo wote

Hapo Mwanzo Mungu Aliziumba MBINGU na Ardhi. Mwanzo 1:1

Hata shetani Anajua na kutetemeka.

Ukiona mtu ana pinga uwepo wa Mungu ujue huyo ni wakala wa shetani na kuzimu.
Hapo Sasa una hubiri without fact ,

Unapaswa kutambua hata wewe Ukiwa na mamlaka unaweza uka Unda dini na kuwapatia watu mafundisho ya Imani yako na ukawatumia public figures kuupush hiyo dini na ukaunda Sheria katika nchi Kila mwananchi anapaswa kuifuata na watu wataifuata in 30 yrs next gen wataifuata dini hiyo bila shurti

Hicho ndio kilichofanyika ktk hizo dini zenu za mchongo nenda kasome kuhusu vita ya crusade utaelewa zaidi hayo mambo mengine ni uongo tu propaganda
 
Bwana wa majeshi leo ainuliweeeeee Bwana wa mabwana leo ainuliweeeeee oooh tutaimba mbinguni kwa Bwana Yesu eee tutacheza na bwana ainuliweeeeee
 
Mimi safi sometimes naona hizi ni hekaya za abunuasi tu hivi inakuwaje wewe watu ndiyo ambao umewaumba then watu hao hao wakupigilie misumari kwenye msalaba bila kufanya kitu? Hivi vitu mbona tunaingizana chaka? Au mnatuonaje au na mimi naomba mnieleweshe basi
Bora we umeanza kujitambua, sasa shida ipo kwa wavaa kobaz na misahaf yao, hawaelewi chochote zaidi ya fix za Muddy!
 
Hukumbuki kuwa ili kupunguza mambo kama haya ndy mana akasema "Roho yangu haitoshindana na Mwanadamu kamwe....

Akapunguza miaka ya kuishi mana vijana shetani akikaa na nyie sana mna haribu.
 
Mimi safi sometimes naona hizi ni hekaya za abunuasi tu hivi inakuwaje wewe watu ndiyo ambao umewaumba then watu hao hao wakupigilie misumari kwenye msalaba bila kufanya kitu? Hivi vitu mbona tunaingizana chaka? Au mnatuonaje au na mimi naomba mnieleweshe basi
Mbn Kuna mwingine ngurue alipita na kichwa chake mpaka leo wanamchukia mdudu
 
Yesu hayupo.

Mungu hayupo.

Allah hayupo.

Habari zozote zinazohusu Mungu ni hadithi za kutungwa na kusadikika.

Emancipate yourself from mental slavery.
Yesu yupo, Mungu yupo ila Allah ndo hayupo
 
Yaaan Dini ya BC na A.D yaan 00 na 622 hahahahaha
 
Semeni yote ila mwisho wa siku kila nafsi itakiri Yesu ni BWANA
 
Yesu yupo, Mungu yupo ila Allah ndo hayupo
Kitu kama hujui ni bora uulize,

Allah ni neno la lugha ya kiarabu,likimaamisha Mungu,wazungu wao Mungu wanamuita God au Yesu anaitwa Jesus,
Unaposema Mungu yupo ila Allah hayupo,ni sawa na kusema Orange lipo ila Chungwa halipo,kusema Allah au Mungu ni issue ya lugha tu,sawa na kusema Banana in english halafu useme Ndizi kwa kiswahili.
 
Back
Top Bottom