Inakuwaje mungu wao apigwe misumari kwenye msalaba na watu uliowaumba?

Inakuwaje mungu wao apigwe misumari kwenye msalaba na watu uliowaumba?

Wasalam

Wakuu hii ni seriously issue kama una mdogo wako wa kike hakikisha hasomi an kamaliza shule na ni mzuri pia anajitambua..

Anaweza kufanya biashara kama
Kuuza Vijora ofisini
Uwakala
Stationary

Naweza kukukaribisha umri 18-23...

Hiki kigezo cha umri zingatia sana sana

Hii ni ofa ambayo natoa kwa week moja tuu ikipita sitaki mtu anisumbue PM...

Kuhusu kulala kula na nk mimi ntashughulika...
Atalala kwangu...
Atakula kwangu....

Na hapo unaweza niita shemeji yako
 
Mkuu hiyo stori ya kufia msalabani ilibuniwa na Paulo baada ya Yesu kutoweka hana ushahidi.

MUNGU ALIKUFA KWA AJILI YA DHAMBI ZETU

Wakristo husema:"Yesu alikufa kwa ajili ya dhambi zetu!" Wakati Yesu anasema:

"Mnataka kuniua kwa sababu baba yenu ni shetani."
(Yohana 8:44)

Shetani ndiye aliyetaka afe.
Nanyi mnaadhimisha kifo chake.

Mkanganyiko mkubwa katika mafundisho ya baadhi ya wakristo. Kama Yesu alisema waliotaka kumuua wana baba yao shetani, ina maana kifo chake hakikuwa kazi ya wokovu bali mipango ya shetani.

Kwa nini basi kuadhimisha jambo ambalo lilitokana na mapenzi ya shetani? Hili linahitaji tafakuri ya kina na kutafautisha mafundisho halisi ya Yesu na tafsiri za Paulo zilizotungwa baadaye.

Wokovu wa kweli hauwezi kujengwa juu ya kifo kilichopangwa na shetani, bali juu ya kumtii Mungu aliye Hai.
Ni.kweli.kabisa,ndio maana Qur'an inapinga kuuliwa kwa Yesu,inasema wale wauwaji mmojawapo,Mungu alimfananisha na Yesu,na Yesu akapaishwa mbinguni na Mungu,baada ya kuomba kikombe hiki cha mauti kimuepuke.Qur'an imesama Yesu hakufa,yuko.mbinguni na qtarudi mwisho wa dunia.Na pia alizaliwa na Maryam,mwanamke bora,kuliko wote,waliopo ulimwenguni,na qlizaliwa bila baba,ni kwa miujiza ya Mungu.
 
Unabii wa Isaya 53 kabla Yesu hajazaliwa na Mariam.
Isaya 53
1 Ni nani aliyesadiki habari tuliyoileta? Na mkono wa Bwana amefunuliwa nani?

2 Maana alikua mbele zake kama mche mwororo, Na kama mzizi katika nchi kavu; Yeye hana umbo wala uzuri; Na tumwonapo hana uzuri hata tumtamani.

3 Alidharauliwa na kukataliwa na watu; Mtu wa huzuni nyingi, ajuaye sikitiko; Na kama mtu ambaye watu humficha nyuso zao, Alidharauliwa wala hatukumhesabu kuwa kitu.

4 Hakika ameyachukua masikitiko yetu, Amejitwika huzuni zetu; Lakini tulimdhania ya kuwa amepigwa, Amepigwa na Mungu, na kuteswa.

5 Bali alijeruhiwa kwa makosa yetu, Alichubuliwa kwa maovu yetu; Adhabu ya amani yetu ilikuwa juu yake, Na kwa kupigwa kwake sisi tumepona.

6 Sisi sote kama kondoo tumepotea; Kila mmoja wetu amegeukia njia yake mwenyewe; Na Bwana ameweka juu yake Maovu yetu sisi sote.

7 Alionewa, lakini alinyenyekea, Wala hakufunua kinywa chake; Kama mwana-kondoo apelekwaye machinjoni, Na kama vile kondoo anyamazavyo Mbele yao wakatao manyoya yake; Naam, hakufunua kinywa chake.

8 Kwa kuonewa na kuhukumiwa aliondolewa; Na maisha yake ni nani atakayeisimulia? Maana amekatiliwa mbali na nchi ya walio hai; Alipigwa kwa sababu ya makosa ya watu wangu.

9 Wakamfanyia kaburi pamoja na wabaya; Na pamoja na matajiri katika kufa kwake; Ingawa hakutenda jeuri, Wala hapakuwa na hila kinywani mwake.

10 Lakini Bwana aliridhika kumchubua; Amemhuzunisha; Utakapofanya nafsi yake kuwa dhabihu kwa dhambi, Ataona uzao wake, ataishi siku nyingi, Na mapenzi ya Bwana yatafanikiwa mkononi mwake;

11 Ataona mazao ya taabu ya nafsi yake, na kuridhika. Kwa maarifa yake mtumishi wangu mwenye haki Atawafanya wengi kuwa wenye haki; Naye atayachukua maovu yao.

12 Kwa hiyo nitamgawia sehemu pamoja na wakuu, Naye atagawanya nyara pamoja nao walio hodari; Kwa sababu alimwaga nafsi yake hata kufa, Akahesabiwa pamoja na hao wakosao. Walakini alichukua dhambi za watu wengi, Na kuwaombea wakosaji.
 
Yesu hayupo.

Mungu hayupo.

Allah hayupo.

Habari zozote zinazohusu Mungu ni hadithi za kutungwa na kusadikika.

Emancipate yourself from mental slavery.
 
Kama nabii anayeheshimiwa na wafuasi wake anaweza kutomber watoto na hayo mengine yanawezekana pia!
 
Yesu hayupo.

Mungu hayupo.

Allah hayupo.

Habari zozote zinazohusu Mungu ni hadithi za kutungwa na kusadikika.

Emancipate yourself from mental slavery.
Mbona hata mwaka wako wa kuzaliwa ni hadithi. Una uhakika mwaka ulio zaliwa ni halali au ulisimuliwa tu?
 
Kum

Kumwelewesha Mpumbavu ni kama kumpigia Mbuzi Gitaa.


Mambo ya Kiroho utambuliwa na watu wa Rohini na sio watu wa mwilini.


Uzuri Mapepo yana Akili kuliko wapumbavu maana Mapepo yana Tambua Yesu ni Bwana lakini wapumbavu hawatambui.
Haina haja ya kutukanana dada tupo hapa kuelekezana tu
 
Mimi safi sometimes naona hizi ni hekaya za abunuasi tu hivi inakuwaje wewe watu ndiyo ambao umewaumba then watu hao hao wakupigilie misumari kwenye msalaba bila kufanya kitu? Hivi vitu mbona tunaingizana chaka? Au mnatuonaje au na mimi naomba mnieleweshe basi
Umefikiria kwa logic ya kuku, bata kumsulubisha mfugaji. Mambo ya kiroho hayahitaji logic za aina hii.
 
Mimi safi sometimes naona hizi ni hekaya za abunuasi tu hivi inakuwaje wewe watu ndiyo ambao umewaumba then watu hao hao wakupigilie misumari kwenye msalaba bila kufanya kitu? Hivi vitu mbona tunaingizana chaka? Au mnatuonaje au na mimi naomba mnieleweshe basi
Wewe uwezo wako ni kubishana nani mwenye hela kati ya Mo na Manji. Hayo unayoyauliza yamekuzidi kimo.
 
Mimi safi sometimes naona hizi ni hekaya za abunuasi tu hivi inakuwaje wewe watu ndiyo ambao umewaumba then watu hao hao wakupigilie misumari kwenye msalaba bila kufanya kitu? Hivi vitu mbona tunaingizana chaka? Au mnatuonaje au na mimi naomba mnieleweshe basi
Yoda Mzayuni wa kwa mtogole, njoo huku unaujumbe wako kutoka kwa wataleban wa mbagala majimatitu
 
Yalete to ku-challenge kwanini unataka kupotosha watu, unafikiri kila mtu ni mbumbumbu wa kilokole?
Nishayaweka mkuu.

Na sipotoshi
Pia huyo Mungu ulisimuliwa na haohao wazazi wako.

Idea ya Mungu ni masimulizi na hekaya za vitabuni tu.

Hakuna Mungu.

Mungu hajawahi kuwepo na hayupo.

najua ww huamin uwepo wa Mungu.

ila nikuulize swali.
najua unajua kuwa kuna supreme power. inayocontrol ecosystem ya hii dunia yetu.

Unahisi hiyo nguvu imetoka wap?
 
Mimi safi sometimes naona hizi ni hekaya za abunuasi tu hivi inakuwaje wewe watu ndiyo ambao umewaumba then watu hao hao wakupigilie misumari kwenye msalaba bila kufanya kitu? Hivi vitu mbona tunaingizana chaka? Au mnatuonaje au na mimi naomba mnieleweshe basi
Siwezi kukupa mapana ya tafisiri halisi ili uelewe kwa nini inafupishwa kusema hivyo. Ila tu mi mwenyewe nashangaa ni kwa nini watu wa Desturi ya Kiarabu waliambukiza Desturi yao mpaka huku kwa watu weusi kwamba mtume wao alifikia kulala mpaka na mtoto wa miaka 9 na wanashangilia,wanaingia kusali kwenye nyumba za ibada wakiinama wanaamini majini yanawapuliza matakoni sijui ili iweje, ni maajabu pia ktk hizi imani tulizoletewa
 
najua ww huamin uwepo wa Mungu.

ila nikuulize swali.
najua unajua kuwa kuna supreme power. inayocontrol ecosystem ya hii dunia yetu.
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na supreme power basi hata hiyo supreme power yenyewe haiwezekani iwepo tu yenyewe from nowhere.

Supreme power hiyo, Na yenyewe lazima iwe imetokana na supreme power nyingine.

Na hiyo supreme power nyingine iwe imetokana na supreme power nyingine.

Hivyo hivyo, na supreme powers nyinginezo pasipo kukoma.

Na kama si lazima kwamba kila kitu kilichopo kina supreme power, Hata ulimwengu na vyote vilivyomo except man-made things Havina supreme power.

Ulimwengu hauna supreme power na hauhitaji uwepo wa supreme power.

Unahisi hiyo nguvu imetoka wap?
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimetokea sehemu fulani, Hata hiyo sehemu fulani vinapotokea vitu hivyo, lazima iwe imetokea sehemu nyingine fulani.

Kama kuna nguvu imetokea sehemu fulani, Na hiyo sehemu ilipotoka nguvu hiyo haiwezi kuwepo tu from nowhere, Pia sehemu hiyo lazima iwe imetokea sehemu nyingine fulani.
 
Back
Top Bottom