Kusini pride
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,762
- 4,079
Mkuu hiyo stori ya kufia msalabani ilibuniwa na Paulo baada ya Yesu kutoweka hana ushahidi.Mimi safi sometimes naona hizi ni hekaya za abunuasi tu hivi inakuwaje wewe watu ndiyo ambao umewaumba then watu hao hao wakupigilie misumari kwenye msalaba bila kufanya kitu? Hivi vitu mbona tunaingizana chaka? Au mnatuonaje au na mimi naomba mnieleweshe basi
Kumwelewesha Mpumbavu ni kama kumpigia Mbuzi Gitaa.Una hoja na unashahili kujibiwa.
Mimk Sijasoma Biblia ila ntajibu kwa upeo wa ufahamu wangu.
1. Kwanza jua kuwa hapo zaman watu walikuwa wanatoa sadaka ya kuteketeza. (Kuchinja/kuua mnyama au kuchoma mazao) ndio wapate utakaso.
Refer hadith zote za kuomba ondoleo la dhambi.
2. Yesu ni Mungu ila pia alichukua uwezo wa kibinadamu na kuish kama binadamu. na Ni kusudi la Mungu kwamba ajitoe yeye binafsi kama sadaka la ondoleo la dhambi ili sasa kupitia yeye watu wapate utakaso bila kuchinja au kuchoma mazao.
3. MUNGU angeweza kusema kuwa kuna msahama bila hiyo adhabu aliyopotia kwa mfano wa kibinadamu (Yesu) ila anatambua lila kosa lina hitaj adhabu. na yeye aliamua kubeba dhambi zote kwa kujitoa sadaka pale msalabani ili anayeamini asitoe tena sadaka bali kwa kuamini kuwa alikufa pale msalabani kwa ajili ya dhambi zetu.
Mengine Setfree atamalizia.
Na pls usinikemee kuhusu pombe mtumishi 😁😁😁😁
Una hoja na unashahili kujibiwa.
Mimk Sijasoma Biblia ila ntajibu kwa upeo wa ufahamu wangu.
1. Kwanza jua kuwa hapo zaman watu walikuwa wanatoa sadaka ya kuteketeza. (Kuchinja/kuua mnyama au kuchoma mazao) ndio wapate utakaso.
Refer hadith zote za kuomba ondoleo la dhambi.
2. Yesu ni Mungu ila pia alichukua uwezo wa kibinadamu na kuish kama binadamu. na Ni kusudi la Mungu kwamba ajitoe yeye binafsi kama sadaka la ondoleo la dhambi ili sasa kupitia yeye watu wapate utakaso bila kuchinja au kuchoma mazao.
3. MUNGU angeweza kusema kuwa kuna msahama bila hiyo adhabu aliyopotia kwa mfano wa kibinadamu (Yesu) ila anatambua kila kosa lina hitaj adhabu. na yeye aliamua kubeba dhambi zetu kwa kujitoa sadaka pale msalabani ili atakayeamini asitoe tena sadaka bali kwa kuamini kuwa Yesu alikufa pale msalabani kwa ajili ya dhambi zetu.
YESU SIO MUNGU
Matendo ya mitume. 3:13-26
Mathayo mtakatifu 10:40-42
Mkuu acha kupotoshwa Yesu hajawahi kuambia wa fuasi wake kwamba ni Mungu Hoja kwamba Yesu ni Mungu na kwamba kifo chake msalabani ndicho msingi wa wokovu wa mwanadamu ni ya kubuni.Una hoja na unashahili kujibiwa.
Mimk Sijasoma Biblia ila ntajibu kwa upeo wa ufahamu wangu.
1. Kwanza jua kuwa hapo zaman watu walikuwa wanatoa sadaka ya kuteketeza. (Kuchinja/kuua mnyama au kuchoma mazao) ndio wapate utakaso.
Refer hadith zote za kuomba ondoleo la dhambi.
2. Yesu ni Mungu ila pia alichukua uwezo wa kibinadamu na kuish kama binadamu. na Ni kusudi la Mungu kwamba ajitoe yeye binafsi kama sadaka la ondoleo la dhambi ili sasa kupitia yeye watu wapate utakaso bila kuchinja au kuchoma mazao.
3. MUNGU angeweza kusema kuwa kuna msahama bila hiyo adhabu aliyopotia kwa mfano wa kibinadamu (Yesu) ila anatambua lila kosa lina hitaj adhabu. na yeye aliamua kubeba dhambi zote kwa kujitoa sadaka pale msalabani ili anayeamini asitoe tena sadaka bali kwa kuamini kuwa alikufa pale msalabani kwa ajili ya dhambi zetu.
Mengine Setfree atamalizia.
Na pls usinikemee kuhusu pombe mtumishi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ndio maana watu wamasoma Mafundisho. hayo niliyoandika juu nimefundishwa miaka 25+ nyuImagine 😁
Mambo ya hovyo sana unapaswa kuwa empty set ili kuweza kuyaamini
Hujui Biblia.Mkuu acha kupotoshwa Yesu hajawahi kuambia wa fuasi wake kwamba ni Mungu Hoja kwamba Yesu ni Mungu na kwamba kifo chake msalabani ndicho msingi wa wokovu wa mwanadamu.
Yesu mwenyewe hakujitangaza kuwa Mungu Yesu aliwaita watu wamwabudu Mungu aliye mbinguni: Yohana 17:3 “Na uzima wa milele ndio huu: wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.”
Hapa Yesu anajitofautisha kabisa na Mungu, akijieleza kama aliyetumwa,” si kama Mungu mwenyewe.
Biblia inatofautisha wazi kati ya Mungu na Yesu
1 Wakorintho 8:6 “Lakini kwetu sisi Mungu ni mmoja tu, aliye Baba…”
Matendo 2:22 “Yesu wa Nazareti, mtu aliyethibitishwa kwenu na Mungu kwa miujiza...”
Yesu anaelezwa kama mtu aliyetiwa nguvu na Mungu si Mungu mwenyewe.
Mkuu ni Zaidi ya ukichaaFanyeni yote ila suala la kusema YESU ni Mungu ni Udumavu wa Akili..
Yalete to ku-challenge kwanini unataka kupotosha watu, unafikiri kila mtu ni mbumbumbu wa kilokole?Ndio maana watu wamasoma Mafundisho. hayo niliyoandika juu nimefundishwa miaka 25+ nyu
Hujui Biblia.
Yesu kwa mdomo wake Alishasema mara 3. maandiko yako kwa biblia na nishayaandikaga humu
Biblia Quran ni Human made acha Ujinga na uanze kujitambua SasaNdio maana watu wamasoma Mafundisho. hayo niliyoandika juu nimefundishwa miaka 25+ nyu
Hujui Biblia.
Yesu kwa mdomo wake Alishasema mara 3. maandiko yako kwa biblia na nishayaandikaga humu
YESU sio MUNGUNdio maana watu wamasoma Mafundisho. hayo niliyoandika juu nimefundishwa miaka 25+ nyu
Hujui Biblia.
Yesu kwa mdomo wake Alishasema mara 3. maandiko yako kwa biblia na nishayaandikaga humu
Soma Yohana 10:30 na kuendelea.Mkuu acha kupotoshwa Yesu hajawahi kuambia wa fuasi wake kwamba ni Mungu Hoja kwamba Yesu ni Mungu na kwamba kifo chake msalabani ndicho msingi wa wokovu wa mwanadamu ni ya kubuni.
Yesu mwenyewe hakujitangaza kuwa Mungu Yesu aliwaita watu wamwabudu Mungu aliye mbinguni: Yohana 17:3 “Na uzima wa milele ndio huu: wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.”
Hapa Yesu anajitofautisha kabisa na Mungu, akijieleza kama aliyetumwa,” si kama Mungu mwenyewe.
Biblia inatofautisha wazi kati ya Mungu na Yesu
1 Wakorintho 8:6 “Lakini kwetu sisi Mungu ni mmoja tu, aliye Baba…”
Matendo 2:22 “Yesu wa Nazareti, mtu aliyethibitishwa kwenu na Mungu kwa miujiza...”
Yesu anaelezwa kama mtu aliyetiwa nguvu na Mungu si Mungu mwenyewe.
Mkuu acha kupotoshwa Yesu hajawahi kuambia wa fuasi wake kwamba ni Mungu Hoja kwamba Yesu ni Mungu na kwamba kifo chake msalabani ndicho msingi wa wokovu wa mwanadamu ni ya kubuni.
Yesu mwenyewe hakujitangaza kuwa Mungu Yesu aliwaita watu wamwabudu Mungu aliye mbinguni: Yohana 17:3 “Na uzima wa milele ndio huu: wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.”
Hapa Yesu anajitofautisha kabisa na Mungu, akijieleza kama aliyetumwa,” si kama Mungu mwenyewe.
Biblia inatofautisha wazi kati ya Mungu na Yesu
1 Wakorintho 8:6 “Lakini kwetu sisi Mungu ni mmoja tu, aliye Baba…”
Matendo 2:22 “Yesu wa Nazareti, mtu aliyethibitishwa kwenu na Mungu kwa miujiza...”
Yesu anaelezwa kama mtu aliyetiwa nguvu na Mungu si Mungu mwenyewe.
bila shaka ww hauamini uwepo wa Mungu. siwez bishana na ww.Biblia Quran ni Human made acha Ujinga na uanze
Karibu 😁bila shaka ww hauamini uwepo wa Mungu. siwez bishana na ww.