Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Ni.kweli.kabisa,ndio maana Qur'an inapinga kuuliwa kwa Yesu,inasema wale wauwaji mmojawapo,Mungu alimfananisha na Yesu,na Yesu akapaishwa mbinguni na Mungu,baada ya kuomba kikombe hiki cha mauti kimuepuke.Qur'an imesama Yesu hakufa,yuko.mbinguni na qtarudi mwisho wa dunia.Na pia alizaliwa na Maryam,mwanamke bora,kuliko wote,waliopo ulimwenguni,na qlizaliwa bila baba,ni kwa miujiza ya Mungu.Mkuu hiyo stori ya kufia msalabani ilibuniwa na Paulo baada ya Yesu kutoweka hana ushahidi.
MUNGU ALIKUFA KWA AJILI YA DHAMBI ZETU
Wakristo husema:"Yesu alikufa kwa ajili ya dhambi zetu!" Wakati Yesu anasema:
"Mnataka kuniua kwa sababu baba yenu ni shetani."
(Yohana 8:44)
Shetani ndiye aliyetaka afe.
Nanyi mnaadhimisha kifo chake.
Mkanganyiko mkubwa katika mafundisho ya baadhi ya wakristo. Kama Yesu alisema waliotaka kumuua wana baba yao shetani, ina maana kifo chake hakikuwa kazi ya wokovu bali mipango ya shetani.
Kwa nini basi kuadhimisha jambo ambalo lilitokana na mapenzi ya shetani? Hili linahitaji tafakuri ya kina na kutafautisha mafundisho halisi ya Yesu na tafsiri za Paulo zilizotungwa baadaye.
Wokovu wa kweli hauwezi kujengwa juu ya kifo kilichopangwa na shetani, bali juu ya kumtii Mungu aliye Hai.
Mbona hata mwaka wako wa kuzaliwa ni hadithi. Una uhakika mwaka ulio zaliwa ni halali au ulisimuliwa tu?Yesu hayupo.
Mungu hayupo.
Allah hayupo.
Habari zozote zinazohusu Mungu ni hadithi za kutungwa na kusadikika.
Emancipate yourself from mental slavery.
Haina haja ya kutukanana dada tupo hapa kuelekezana tuKum
Kumwelewesha Mpumbavu ni kama kumpigia Mbuzi Gitaa.
Mambo ya Kiroho utambuliwa na watu wa Rohini na sio watu wa mwilini.
Uzuri Mapepo yana Akili kuliko wapumbavu maana Mapepo yana Tambua Yesu ni Bwana lakini wapumbavu hawatambui.
Mkuu Mpaka wewe uko kwenye YESU ni Mungu?Kama hujui maandiko kaa kimya ueleweshwe uungu wa Yesu
Huyo Mungu ni hadithi za kusadikika tu.Mbona hata mwaka wako wa kuzaliwa ni hadithi. Una uhakika mwaka ulio zaliwa ni halali au ulisimuliwa tu?
Umefikiria kwa logic ya kuku, bata kumsulubisha mfugaji. Mambo ya kiroho hayahitaji logic za aina hii.Mimi safi sometimes naona hizi ni hekaya za abunuasi tu hivi inakuwaje wewe watu ndiyo ambao umewaumba then watu hao hao wakupigilie misumari kwenye msalaba bila kufanya kitu? Hivi vitu mbona tunaingizana chaka? Au mnatuonaje au na mimi naomba mnieleweshe basi
Hata mwaka wako wa kuzaliwa ni hadithi ulisimuliwa na wazaziHuyo Mungu ni hadithi za kusadikika tu.
Hata na habari za vita ya majimaji ni hadithi za kutunga tumesimuliwa 😂😂😂Hata mwaka wako wa kuzaliwa ni hadithi ulisimuliwa na wazazi
Pia huyo Mungu ulisimuliwa na haohao wazazi wako.Hata mwaka wako wa kuzaliwa ni hadithi ulisimuliwa na wazazi
Wewe uwezo wako ni kubishana nani mwenye hela kati ya Mo na Manji. Hayo unayoyauliza yamekuzidi kimo.Mimi safi sometimes naona hizi ni hekaya za abunuasi tu hivi inakuwaje wewe watu ndiyo ambao umewaumba then watu hao hao wakupigilie misumari kwenye msalaba bila kufanya kitu? Hivi vitu mbona tunaingizana chaka? Au mnatuonaje au na mimi naomba mnieleweshe basi
Yoda Mzayuni wa kwa mtogole, njoo huku unaujumbe wako kutoka kwa wataleban wa mbagala majimatituMimi safi sometimes naona hizi ni hekaya za abunuasi tu hivi inakuwaje wewe watu ndiyo ambao umewaumba then watu hao hao wakupigilie misumari kwenye msalaba bila kufanya kitu? Hivi vitu mbona tunaingizana chaka? Au mnatuonaje au na mimi naomba mnieleweshe basi
Nishayaweka mkuu.Yalete to ku-challenge kwanini unataka kupotosha watu, unafikiri kila mtu ni mbumbumbu wa kilokole?
Pia huyo Mungu ulisimuliwa na haohao wazazi wako.
Idea ya Mungu ni masimulizi na hekaya za vitabuni tu.
Hakuna Mungu.
Mungu hajawahi kuwepo na hayupo.
Siwezi kukupa mapana ya tafisiri halisi ili uelewe kwa nini inafupishwa kusema hivyo. Ila tu mi mwenyewe nashangaa ni kwa nini watu wa Desturi ya Kiarabu waliambukiza Desturi yao mpaka huku kwa watu weusi kwamba mtume wao alifikia kulala mpaka na mtoto wa miaka 9 na wanashangilia,wanaingia kusali kwenye nyumba za ibada wakiinama wanaamini majini yanawapuliza matakoni sijui ili iweje, ni maajabu pia ktk hizi imani tulizoletewaMimi safi sometimes naona hizi ni hekaya za abunuasi tu hivi inakuwaje wewe watu ndiyo ambao umewaumba then watu hao hao wakupigilie misumari kwenye msalaba bila kufanya kitu? Hivi vitu mbona tunaingizana chaka? Au mnatuonaje au na mimi naomba mnieleweshe basi
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na supreme power basi hata hiyo supreme power yenyewe haiwezekani iwepo tu yenyewe from nowhere.najua ww huamin uwepo wa Mungu.
ila nikuulize swali.
najua unajua kuwa kuna supreme power. inayocontrol ecosystem ya hii dunia yetu.
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimetokea sehemu fulani, Hata hiyo sehemu fulani vinapotokea vitu hivyo, lazima iwe imetokea sehemu nyingine fulani.Unahisi hiyo nguvu imetoka wap?