Kuna vitu vidogotu Unaweza kutambua kama upo uwepo wa Mungu kama ukitafakari Wacha ujinga.Karibu 😁
Naanzaje kuamini Uwepo wa mungu wakati sifa anazopewa na vitabu vyenu Zina contradiction kibao
So Kwa hii argument yako una maanisha mungu nayeye pia kawekwa !? Umeona Sasa mnavyo ji-. Contradict Aliyekuambia Uwepo wa kitu lazima uwe umewekwa ni Nani !?Kuna vitu vidogotu Unaweza kutambua kama upo uwepo wa Mungu kama ukitafakari Wacha ujinga.
Hakuna kitu Ambacho kimejiweka chenyewe bila kuwekwa.
Umesha tafakari hii Dunia unayoishi MBINGU na Ardhi ilivyo?
Umesha waza uumbaji wake? Kama nyumba ujengwa na wanadamu umesha jiuliza MBINGU Nani Ameziweka?
Bati na paa ubebwa na nyumba umesha waza Anga Alina nguzo na Bado Anga lime simama.
Mfalme solomoni Ana sema namnukuu.
Mpumbavu usema Moyoni Hakuna Mungu.
Sasa tafakari wewe ni Mpumbavu Au mjinga?
Kuna tofauti ya Mpumbavu na Mjinga.
Mjinga ni yule hasiye jua ila Akijulishwa uwa mwerevu.
Mpumbavu ni yule Anaye jua lakini Anapinga Ukweli.
Unapo sema siyo Mungu Una jua Maana ya Umungu?YESU sio MUNGU
Matendo ya mitume 3:13-26
Mathaya Mtakatifu 10:40-42
So Kwa hii argument yako una maanisha mungu nayeye pia kawekwa !? Umeona Sasa mnavyo ji-. Contradict Aliyekuambia Uwepo wa kitu lazima uwe umewekwa ni Nani !?
Hapo Mwanzo Mungu Aliziumba MBINGU na Ardhi. Mwanzo 1:1So Kwa hii argument yako una maanisha mungu nayeye pia kawekwa !? Umeona Sasa mnavyo ji-. Contradict Aliyekuambia Uwepo wa kitu lazima uwe umewekwa ni Nani !?
Matendo ya mitume 3:13-26Unapo sema siyo Mungu Una jua Maana ya Umungu?
Nenda kasome kitabu cha yohana 3: utajua Alichokifunua Yesu.
Yesu Haongelei mambo ya Mwili Anaongelea mambo ya Rohini Ndugu ukiwa mjinga huwezi kumwelewa kama Nikodemo aliye shangaa mtu kuzaliwa mara ya pili.
Mimi ni Mwana wa Mungu kwa jinsi ya Roho na siyo Mwili.
Ndiyo maana kuokoka ni lazima na siyo Dini.
Wapo wenye Dini na Bado wanateseka na Nguvu za giza pamoja na kuwa na Dini.
Unapo okoka unapewa Roho mtakatifu una badilishwa kuwa Jinsi ya Mungu Rohoni na Mapepo hawakuwezi na Tunaishi kama watoto wa Mungu Ndicho Alicho kilete Yesu na hakulazimishi kuamini kama hutaki.
Lakini ukibanwa na manguvu ya giza ndipo tutaongea lugha Moja kwamba Yesu ni Bwana.
Sasa hivi Unaweza kukashifu sana juu ya Umungu wa Yesu ila siku ukibanwa utajua Yesu ni Mungu Au siyo Brother.
So Kwa hii argument yako una maanisha mungu nayeye pia kawekwa !? Umeona Sasa mnavyo ji-. Contradict Aliyekuambia Uwepo wa kitu lazima uwe umewekwa ni Nani !?
Hapo Mwanzo Mungu Aliziumba MBINGU na Ardhi. Mwanzo 1:1So Kwa hii argument yako una maanisha mungu nayeye pia kawekwa !? Umeona Sasa mnavyo ji-. Contradict Aliyekuambia Uwepo wa kitu lazima uwe umewekwa ni Nani !?
Hapo Sasa una hubiri without fact ,Siyo wote
Hapo Mwanzo Mungu Aliziumba MBINGU na Ardhi. Mwanzo 1:1
Hata shetani Anajua na kutetemeka.
Ukiona mtu ana pinga uwepo wa Mungu ujue huyo ni wakala wa shetani na kuzimu.
Bora we umeanza kujitambua, sasa shida ipo kwa wavaa kobaz na misahaf yao, hawaelewi chochote zaidi ya fix za Muddy!Mimi safi sometimes naona hizi ni hekaya za abunuasi tu hivi inakuwaje wewe watu ndiyo ambao umewaumba then watu hao hao wakupigilie misumari kwenye msalaba bila kufanya kitu? Hivi vitu mbona tunaingizana chaka? Au mnatuonaje au na mimi naomba mnieleweshe basi
ao ulionitajia ni akina Nani?Wewe uwezo wako ni kubishana nani mwenye hela kati ya Mo na Manji. Hayo unayoyauliza yamekuzidi kimo.
Mbn Kuna mwingine ngurue alipita na kichwa chake mpaka leo wanamchukia mduduMimi safi sometimes naona hizi ni hekaya za abunuasi tu hivi inakuwaje wewe watu ndiyo ambao umewaumba then watu hao hao wakupigilie misumari kwenye msalaba bila kufanya kitu? Hivi vitu mbona tunaingizana chaka? Au mnatuonaje au na mimi naomba mnieleweshe basi
Yesu yupo, Mungu yupo ila Allah ndo hayupoYesu hayupo.
Mungu hayupo.
Allah hayupo.
Habari zozote zinazohusu Mungu ni hadithi za kutungwa na kusadikika.
Emancipate yourself from mental slavery.
Sasa Mungu nani?Wakristo tunaosoma Biblia kiakili tunajua Yesu sio Mungu.
Kitu kama hujui ni bora uulize,Yesu yupo, Mungu yupo ila Allah ndo hayupo