Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Tena utakuta na kitandani shoo unasimamia vizuri tu, nimeona Real crime documentary YouTube mwanaume Wa kizungu aliuliwa na mwanamke Wa kifilipino aliekuwa anamuhonga ili huyo mwanamke abaki na security guard.
Tajiri mwingine wa kinaijeria presha ilipanda baada ya kugundua mke aliemjengea Nyumba Anatumia pesa Yake kumuhonga mwanaume Mwingine hohehae.
Tajiri mwingine wa kinaijeria presha ilipanda baada ya kugundua mke aliemjengea Nyumba Anatumia pesa Yake kumuhonga mwanaume Mwingine hohehae.