Inakuwaje mwanamke unampa hela nyingi halafu anaku-cheat na mwanaume ambaye ni masikini kuliko?

Hujawahi niangusha kaka mkubwa [emoji851][emoji3]

Kumbe kubadili ladha imo eeh sasa nashangaa tunaambiwa tuna cheat [emoji848][emoji1787]
[emoji1751][emoji1751][emoji1751][emoji1751][emoji1751]
 
Tena utakuta na kitandani shoo unasimamia vizuri tu, nimeona Real crime documentary YouTube mwanaume Wa kizungu aliuliwa na mwanamke Wa kifilipino aliekuwa anamuhonga ili huyo mwanamke abaki na security guard.

Tajiri mwingine wa kinaijeria presha ilipanda baada ya kugundua mke aliemjengea Nyumba Anatumia pesa Yake kumuhonga mwanaume Mwingine hohehae.
Usimpe hela.. mpe upendo wa dhati kutoka moyoni ambao baadae ndio utasababisha umpe pesa..
 
Tena utakuta na kitandani shoo unasimamia vizuri tu, nimeona Real crime documentary YouTube mwanaume Wa kizungu aliuliwa na mwanamke Wa kifilipino aliekuwa anamuhonga ili huyo mwanamke abaki na security guard.

Tajiri mwingine wa kinaijeria presha ilipanda baada ya kugundua mke aliemjengea Nyumba Anatumia pesa Yake kumuhonga mwanaume Mwingine hohehae.

Kwa sababu mwanamke anataka kitu ambacho Hana/Ujampa!

Namna Pekee ya kumuweza mwanamke Ni kufuata miongozo ya Mwanamke maker "Imani" Biblia.
 
Tena utakuta na kitandani shoo unasimamia vizuri tu, nimeona Real crime documentary YouTube mwanaume Wa kizungu aliuliwa na mwanamke Wa kifilipino aliekuwa anamuhonga ili huyo mwanamke abaki na security guard.

Tajiri mwingine wa kinaijeria presha ilipanda baada ya kugundua mke aliemjengea Nyumba Anatumia pesa Yake kumuhonga mwanaume Mwingine hohehae.
Ikiijua saikolojia wala autasumbuka sana
Wanawake ni viumbe wenye huruma sana ukiweza kucheza vizuri na ile huruma yake akuna anayekukataa

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Tena utakuta na kitandani shoo unasimamia vizuri tu, nimeona Real crime documentary YouTube mwanaume Wa kizungu aliuliwa na mwanamke Wa kifilipino aliekuwa anamuhonga ili huyo mwanamke abaki na security guard.

Tajiri mwingine wa kinaijeria presha ilipanda baada ya kugundua mke aliemjengea Nyumba Anatumia pesa Yake kumuhonga mwanaume Mwingine hohehae.
Eeeeh
 
Duuh
 
Back
Top Bottom