Inakuwaje mwanamke unampa hela nyingi halafu anaku-cheat na mwanaume ambaye ni masikini kuliko?

Hakuna aliyewahi kumridhisha mwanamke, muulize Adamu au Samsoni
 
Mpe Dunia yote hii Mwanamke, Mpelekee Moto mpaka Papuchi ipate Moto..... Muonyeshe Upendo Kama wa Mama kwa Mtoto!

Bado Mwanamke anaweza kugongwa na Shamba Boy kwenye Banda la Kuku!

Mwanamke ni ¾ ....….!!!
 
Kwani ulimpa sh ngapi?!

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Ni kili kusema mchawi ni pesa tu...Mimi kuna muda demu nilikuwa nampiga show hadi analalamika nisije nikamcheat...anatamka kabisa “ulikuwa wapi siku zote” ukiachana na hivyo ikija ishu ya kucare sijui alikuwa muda wote anatamani kuongea na mimi yaani nikiongea full kufrahi mpaka akawa anasema napenda unanichekesha sana naenjoy kuwa na wewe ukiwa serious utaniboa...
ila huwezi kuamini kuna fala mmoja tu kanizidi kidogo tu pesa akachukua namba...demu kesho kutwa yake tu kaanza kunibadilika sijakaa vizuri nikapigwa Block kwenye simu kote..mchezo ukawa umeishia hapo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Afadhali ungesema unampa mapenzi anaenda kwa wengine, sasa unampa pesa, kwani pesa inaweza simama mahali badala ya mapenzi na mapenzi yanaweza simama mahalo badala ya pesa?

Asa mbona tukiachwaga,mnasemaga tafuta pesa
 
Basi hadi kwenye uzi huu kuna umbwa itakuja kusema tafuta pesa.
AU
We mpe pesa mpe pesa.
 
Mapenzi sio pesa tu Kuna hisia, kuwa romantic, maumbile na unasimama vipi ulingoni
Kuna wanaume wanasimamia mbususu kama bicycle na bado wanaachwa.

Kwakifupi mwanamke hajulikani anataka nn..
 
Simply Because They Are Short Sighted, Complicated And Mostly Unknowingly Want They Want.
 
Eh huyo dada safi sanaaa

Ana kufunza ya kuwa pesa sio kila kitu
 
Kuna mahali tulizo la Moyo lipo, we mpe mahitaji yake yote vingine vinavyomvutia atavifuata mwenyewe
 
Mwanamke anahitaji full attention na siku zote ukiwa mtafutaji huwezi kumpa attention anayoitaka akili inawaza kazi ukipata mnagawana afurahi, yeye anataka muwe mnachat 24/7, umbebishe kila muda, akitaka sex umpe muda huo huo....

Hapo ndio anaenda kugongwa na hawa wadaka chozi super marioo wazee wa kujiongeza, atampa kila anachohitaji, atamlamba kila kona ya mwili baadae atakuona wewe si kitu ila yule Marioo ndio mtu...

Watapanga wakuondoe Duniani ili waishi peke yao kwa raha, ukishakufa Mali zinarudi kwake, wataenjoy kwa 3 months baada ya hapo Marioo anataka kuwavimbia vitoto vibichi, atapeleka attention kule, huyo mwanamke atakosa raha, atatamani waachane lakini kuna siri waliifanya pamoja so inabidi walindane, atabaki na stress, atajutia kitendo chake, atamuua Marioo au atakufa yeye kwa presha na majuto.

Funzo: Ukiwa na Pesa Mtihani, usipokua na Pesa Mtihani.
 

Hujawahi niangusha kaka mkubwa [emoji851][emoji3]

Kumbe kubadili ladha imo eeh sasa nashangaa tunaambiwa tuna cheat [emoji848][emoji1787]
 
[emoji120][emoji120]
Heri ya mwaka mpya Anko.
 
We mzee wewe unasemaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…