Inakuwaje mwanaume mpaka una miaka 30 au 40 haujaoa na una hela?

Asilimia kubwa ya binadamu mtu mzima anapenda na ana tamani kuoa na ukiona mtu hajaoa si jambo jema kumcheka kwani ukute ana mambo kibao ambayo yamepelekea yeye kutokuoa by the way ndoa ni ridhiko la nafsi mbili zilizoamua kuishi pamoja na si fedha na ndio maana ndoa nyingi zina fail kwa kuwa mtu ameweka malengo ya "NIKIPATA KAZI TU NAOA" na huwa hajiulizi je "JE KAZI IKIKATIKA NDANI YA NDOA ITAKUAJE?". Uwe huna kazi au una kazi au una hela au huna lakini kama mmekubaliana kwa pamoja kwamba mnahitaji kuishi pamoja kama mume na mke hapo ndio ndoa ya dhati
 
Uwe unafikiria unapowaza:disapointed::disapointed::disapointed::disapointed: sio ukurupuke
 
we endelea kujenga familia yako ya huyo jamaa hayakuhusu
 

Absolutely right. Seems to be personal!
 
Duuuhh, maajabu makubwa. Tatizo letu Afrika akili na fikra zetu zimeganda. Badala ya kufikiri dunia ikukumbukeje wewe unafikiria yale yale ya Tunda la katikati
 

too personal kakufanya nini huyo jamaa??!!
 
Utumwa Mwingine Katika Maisha Ni Kujisumbua Kwa Kufuatilia Maisha Ya Mtu Mwingine Utapata Presha Bure!
 
Kwani kuoa ni lazima? Hujui hata Jullie Bishop foreign minister wa Australia (55) ana bf! Hata Jullie Gillard former Pm (57) ana bf tu! Sio vizuri kupangiana maisha, kuoa ama kuolewa sio lazima ishi utakavyo wewe

Acha kupotosha umma ww!
Hizo western culture haziingiliani na maisha halisi ya kibongo!

Ndio maana katiba ya Tz inasema mojawapo ya sifa za rais awe ameoa au kuolewa!

Alafu kuoa au kuolewa ni sifa nzuri kwa jamii na humpendeza Mungu.
 
Hivi kwenu kuoa ni lazima? Au ndio mambo haya ya uanaume ni kuoa na uanamke ni kuolewa? Kwanini aige mkumbo wako? Kuna mwenzangu mmoja alioa akiwa darasa la 7, wengine walioa baada ya sekondari, wengine walioa chuo kikuu, wengine baada ya Phd. wengine waliangalia uwezo wa kichumi wengine waliangalia umri. Wewe miaka 25 uchumi wako na elimu yako vilikuwaje? Sasa kinakukera nini wakati maisha ni yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…