Inakuwaje mwanaume unakuwa tajiri, halafu kupata mwanamke inakuwa shida?

Demu wa kawaida ndio yupi? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Alaf sura za kawaida na demu wa kawaida ni kitu kimoja?
Demu wa kawaida maana yake demu ambaye hana exposure ya maisha. Mara nyingi wale ambao sio ma slay queen au ambao wageni wa matanuzi matanuzi ya town.
 
Ukipata Mali anaokukodolea jicho ni walaji tu sisi kwetu tunawaita wapiga shoti au wafirisi

Kwa hiyo lzm amtest Kila mwanamke Kama anaweza akamentain status ya Mali shida Sasa wengi wao ni .....
 
Sura na personality navyo vina-matter jamani....money is not everything!
 
Demu wa kawaida maana yake demu ambaye hana exposure ya maisha. Mara nyingi wale ambao sio ma slay queen au ambao wageni wa matanuzi matanuzi ya town.
Ahaaa na niliona kule umemuliza jamaa " sura za kawaida ni zip?" vip ameshakupa jibu na mimi uniambie πŸ€£πŸ€£πŸ˜‰
 
Wakaka wenye pesa wanajikutana wanapenda vizuri, wanapenda wadada wazuri kama chakula,

Na shughuli huaga hawana nadhani
Yaani feza ipo na bado nijishughulishe tena?![emoji15][emoji15][emoji15]big NO!!Siku ya kutiana tukikutana nakuambia tu panda juu mama jishughulishe!Yaani wewe fukara ndiye unatakiwa unipande mimi
 
Ewalaaa!!
Huyu msukuma kapotea kweli.

Unasema wanaume wenye pesa wana "ego" sasa maana ya "ego" unayoongelea ww ni ipi?

Wanawake ndo mnaongoza kuwa na "ego" ndo maana hata mumpende/mvutiwe kingono na mwanaume kiasi gani, ego yenu haiwez kuwaruhusu muende kuwaambia live hao wanaume, bcoz mnahisi mtajishusha thamani, au mtakataliwa hivyo ego yenu itaumia..
Jael
 
Waambie waje Arusha mkuu, huku kama wanataka watakmbia wenyewe.
 
Wacha bwana!!!
 
Sababu ni mbili
1.Mwanaume kuwa na pesa lakini hajui maarifa ya mahusiano(social and emotional issues) au mapenzi, pesa sio kila kitu

2.Mwanamke kumkubali mwanaume mwenye pesa bila mapenzi ya dhati, ukiwa na pesa unaweza kupata wanawake wanaofake upendo ili kusaidika kimaisha
 
Waambie waskilize SUZANA ya Saut so,
Kuna tule tu mstari tunasema
"Mwanaume hisia......
Mwanamke hisia..."

Arafu waende kwa mtu wafasihi ili awape ufafanuzi wa iyo mistar..aki tena wataelewa shida ni Nn kwao..
 
Nenda wewe Kama imeshindikana kwa hao wenzako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…