Inakuwaje Mzazi Anaweza Lea Watoto Kadhaa Lakini Watoto hawawezi Kulea Mzazi Wao

Inakuwaje Mzazi Anaweza Lea Watoto Kadhaa Lakini Watoto hawawezi Kulea Mzazi Wao

Nimeipenda hii
Ni very easy and implementable, wanangu wakifika 15 years na nguo zangu wataanza kunifulia na kuzipanga bila kutumia washing machine.

But huku chini tunaenda kwa upendo na discipline ili wasione wanateseka.

Shida ya wazazi wa siku hizi eti unaogopa mtoto atanuna... WTF???? We nuna tu but rules are rules, am the parent
 
Vizur sana boss,na hata wakinuna lakini siku moja watakuja kukushukuru kwa jinsi ulivyowajengea msingi mzuri wa maisha

Ni wazazi waelewa pekee wanatambua umuhimu wa kujenga uwajibikaji mapema kwa watoto wao
 
Sababu hao watoto wanakuwa wanakuwa wameshapata familia pia ambazo zina watoto wengi wanaohitaji malezi
 
Kwahiyo nao wasije kulelewa hapo baadae kwakuwa,watoto wao nao watakuwa na watoto wao 😂😂
Ndio maana kuna viinua mgongo (pensheni), na pia rasilimali zako ndio inabidi zikutunze, na ukiondoka watoto watarithi.
 
Jinsi 25k
Tshirt 20k
Kiatu 15k
beer 2.5k

lkn kuna watu out of no. where utaskia anapendeza na kulewa tu mjini hajajengea wazazi wake 😀
 
Back
Top Bottom