Kama mngekuwa mnaifuatilia Italy ingekuwa vizuri sana maana ndio ndugu zenu na ndio waliyokuleteeni ukristo
Italy is officially a secular state. Christianity is the majority Religion followed by almost 84% of the population and Roman Catholicism is its main branch.
Lakini waisrael Wala hawana mpango na ukristo Sasa sijui kwa nini mnajipendekeza sana kwao
The religious affiliation of the Israeli population as of 2019[3] was 74.2% Jewish, 17.8% Muslim, 2.0% Christian, and 1.6% Druze. The remaining 4.4% included faiths
ttzo mnaleta udin kweny insh za ukwel , Israel inawadunda waarab sabab ya unyumb wa waarab huez chagua wa kuish nae , wao mbona wanakuja kwetu tunawapokeaKama mngekuwa mnaifuatilia Italy ingekuwa vizuri sana maana ndio ndugu zenu na ndio waliyokuleteeni ukristo
Italy is officially a secular state. Christianity is the majority Religion followed by almost 84% of the population and Roman Catholicism is its main branch.
Lakini waisrael Wala hawana mpango na ukristo Sasa sijui kwa nini mnajipendekeza sana kwao
The religious affiliation of the Israeli population as of 2019[3] was 74.2% Jewish, 17.8% Muslim, 2.0% Christian, and 1.6% Druze. The remaining 4.4% included faiths
Tatizo hizo nchi zimegawanyika hazipo pamoja, halafu Israel inakingiwa kifua na kuungwa mkono na Marekani, wanapokea misaada mingi mikubwa kutoka Marekani, usijidanganye Israel bila Marekani si lolote si chochote, ndio maana kapigwa na Hezbollah tu , hizo nchi zote za kiarabu ni vibaraka wa Marekani.View attachment 2411770
Hii nchi kwangu inanishangaza sana, Ni ka nchi kadogo lakini manchi mengi makubwa yaliyodhamiria kuifuta kwenye rmani ya dunia hayajaweza mpaka leo. Ni mwendo wa kupigana, Ni sawa na Sungura na Tembo wanapigana kitu ambacho ni kama mazingaombwe.
Pia nimesoma historia kadhaa kuona kwamba nchi ndogo kama Israel ilizikalisha nchi kama sita hivi kubwa za kiarabu kwenye vita iliyochukua siku chache sana, Hii inawezekanaje?
Kwa hiyo Waisrael ndugu zenu Waislamu?Kama mngekuwa mnaifuatilia Italy ingekuwa vizuri sana maana ndio ndugu zenu na ndio waliyokuleteeni ukristo
Italy is officially a secular state. Christianity is the majority Religion followed by almost 84% of the population and Roman Catholicism is its main branch.
Lakini waisrael Wala hawana mpango na ukristo Sasa sijui kwa nini mnajipendekeza sana kwao
The religious affiliation of the Israeli population as of 2019[3] was 74.2% Jewish, 17.8% Muslim, 2.0% Christian, and 1.6% Druze. The remaining 4.4% included faiths
Kadogo kwenye mchoro wa kwenye ramani tu, ila sio km unavyoaminishwa na hao wachorajiNi ka nchi kadogo
Wayahudi = Wa SabatoKwa hiyo Waisrael ndugu zenu Waislamu?