Inakuwaje nchi nyingi kubwa za Kiarabu mpaka leo hii zimeshindwa kuiteketeza nchi ndogo kama Israel?

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925
1668018520490.png

Hii nchi kwangu inanishangaza sana, Ni ka nchi kadogo lakini manchi mengi makubwa yaliyodhamiria kuifuta kwenye rmani ya dunia hayajaweza mpaka leo. Ni mwendo wa kupigana, Ni sawa na Sungura na Tembo wanapigana kitu ambacho ni kama mazingaombwe.

Pia nimesoma historia kadhaa kuona kwamba nchi ndogo kama Israel ilizikalisha nchi kama sita hivi kubwa za kiarabu kwenye vita iliyochukua siku chache sana, Hii inawezekanaje?
 
Kama mngekuwa mnaifuatilia Italy ingekuwa vizuri sana maana ndio ndugu zenu na ndio waliyokuleteeni ukristo

Italy is officially a secular state. Christianity is the majority Religion followed by almost 84% of the population and Roman Catholicism is its main branch.

Lakini waisrael Wala hawana mpango na ukristo Sasa sijui kwa nini mnajipendekeza sana kwao

The religious affiliation of the Israeli population as of 2019[3] was 74.2% Jewish, 17.8% Muslim, 2.0% Christian, and 1.6% Druze. The remaining 4.4% included faiths
 
Hata yesu hakuwa mkristo bali ni Myahudi.

Israel ana dini yake ya peke yake ya kiyahudi. Hajaipeleka nchi yeyote ili isambae kama dini zingine
 
Kama mngekuwa mnaifuatilia Italy ingekuwa vizuri sana maana ndio ndugu zenu na ndio waliyokuleteeni ukristo

Italy is officially a secular state. Christianity is the majority Religion followed by almost 84% of the population and Roman Catholicism is its main branch.

Lakini waisrael Wala hawana mpango na ukristo Sasa sijui kwa nini mnajipendekeza sana kwao

The religious affiliation of the Israeli population as of 2019[3] was 74.2% Jewish, 17.8% Muslim, 2.0% Christian, and 1.6% Druze. The remaining 4.4% included faiths
ttzo mnaleta udin kweny insh za ukwel , Israel inawadunda waarab sabab ya unyumb wa waarab huez chagua wa kuish nae , wao mbona wanakuja kwetu tunawapokea
 
View attachment 2411770

Hii nchi kwangu inanishangaza sana, Ni ka nchi kadogo lakini manchi mengi makubwa yaliyodhamiria kuifuta kwenye rmani ya dunia hayajaweza mpaka leo. Ni mwendo wa kupigana, Ni sawa na Sungura na Tembo wanapigana kitu ambacho ni kama mazingaombwe.

Pia nimesoma historia kadhaa kuona kwamba nchi ndogo kama Israel ilizikalisha nchi kama sita hivi kubwa za kiarabu kwenye vita iliyochukua siku chache sana, Hii inawezekanaje?
Tatizo hizo nchi zimegawanyika hazipo pamoja, halafu Israel inakingiwa kifua na kuungwa mkono na Marekani, wanapokea misaada mingi mikubwa kutoka Marekani, usijidanganye Israel bila Marekani si lolote si chochote, ndio maana kapigwa na Hezbollah tu , hizo nchi zote za kiarabu ni vibaraka wa Marekani.
 
Kama mngekuwa mnaifuatilia Italy ingekuwa vizuri sana maana ndio ndugu zenu na ndio waliyokuleteeni ukristo

Italy is officially a secular state. Christianity is the majority Religion followed by almost 84% of the population and Roman Catholicism is its main branch.

Lakini waisrael Wala hawana mpango na ukristo Sasa sijui kwa nini mnajipendekeza sana kwao

The religious affiliation of the Israeli population as of 2019[3] was 74.2% Jewish, 17.8% Muslim, 2.0% Christian, and 1.6% Druze. The remaining 4.4% included faiths
Kwa hiyo Waisrael ndugu zenu Waislamu?
 
Umoja wa mataifa kuna mkataba wa America kuilinda Israel hadi mwisho wa dunia.

Lakini utambue kiasili lile taifa la Israel ni chimbuko la mataifa mengi tu ya ulaya na mwarabu ndugu ambae kidini ugomvi wao ulitabiriwa toka wanazaliwa.

Israel ukimfanyia ubaya hata baada ya miaka 100 lazima ajekulipiza kisasi kwa namna yo yote ile.

Japo mi naamini wao bado wanajichukulia kama ni taifa maalum hapa duniani kitu ambacho sio kwa sasa.
 
Back
Top Bottom