Inakuwaje nchi nyingi kubwa za Kiarabu mpaka leo hii zimeshindwa kuiteketeza nchi ndogo kama Israel?

Hizo nchi za kiarabu wengi ni zero brain yani makubwa jinga..na isingekua mafuta wangekua wanaomba msaada wa kuchimbiwa vyoo kama sub saharan countries.

#MaendeleoHayanaChama
 
Reactions: PNC
Umkhippor(speling) vita ya siku sita.
Matokeo yalikuwa hivi.
1. Syria kupoteza milima ya gollan
2. Misri kupoteza jangwa la sinai
3. Lebanon kupoteza ardhi
4. Palestina kupoteza 100% ya ardhi yake.
Only Misti alirudishiwa wbaada ya makubaliana na serekali ya israel.

Syria mpaka leo milima haijarudi.
Palestina kwa kuonewa huruma wakapewa mamlaka kwenye baadhi ya maeneo.
 
Marekani anakalinda siku akikaachia katabomolewa
Ila hao watumwa wamejipanga asikwambie mtu, alafu ndiyo nchi pekee Ina kila watu waliopo duniani, mpaka mwarabu mmarekani na unamkuta anauchungu na nchi yake balaa!
 
Reactions: PNC
Italy na christianity vinahusikaje na nchi za kiarabu kushindwa kui eliminate Israel ?
 
Ila hao watumwa wamejipanga asikwambie mtu, alafu ndiyo nchi pekee Ina kila watu waliopo duniani, mpaka mwarabu mmarekani na unamkuta anauchungu na nchi yake balaa!
Ndio mana huwa nasema hakuna wakuiangusha America mana America ni kimbilio la kila race kuishi kwa uhuru na amani huku akitengeneza pesa na maisha.

Hakuna nchi inayotoa uhuru na amani kama usa...hao wote waliopo usa lazima walinde uhuru wao na amani hata kama vitishio vitatoka katika nchi zao mama.

#MaendeleoHayanaChama
 
Defeating Israel means defeating USA .....Israel ina prove maandiko ya biblia na inathibitisha kwamba ni Taifa teule, kwamba itapigwa itainuka na mwisho wa SIKU atakuwa mshindi......
 
MODS TAFADHALINI MSI DILUTTE KWA KUUNGANISHA UZI HUU NA NYUZI ZA ZAMANI AMBAZO ZILISHACHUJA

N:B: Kupigana ni tofauti na kupigwa ama kupiga,

Naweza kuifananisha Israel na Sungura na mataifa mengine ya kiarabu yanayotaka kuiangamiza Israel kama Tembo tena zaidi ya moja, sasa katika mapigano haya ikitokea Sungura kabamiwa na kundi la Tembo huwa kwa kawaida ni kwamba Sungura labda akimbie ila akibaki kupigana atapigwa na atakanyagwa kanyagwa bila kurudisha mapigo yoyote.

Nashangaa sana nchi ndogo kama israel japo nayo kuna muda inashambuliwa lakini nayo inaweza kurudisha mapigo kwa kuzishambulia nchi nyingine ambazo ni kubwa kabisa, yani ni piga nikupiga nipe nikupe baina ya sungura na kundi la Tembo, hii inaingia akilini kweli ?
 
Umewahi kuona bidhaa imeandikwa made in Israel?

Lakini viwanda vingi na makampuni makubwa ni vya wayahudi duniani

Sasa hapo huoni nguvu yao
Kuna mataifa makubwa yanawategemea Wayahudi kwenye Uchumi wao na hata Uchaguzi
 
Israel ndo wanai.control Marekani kwa taarifa yako. Kwa asilimia kubwa ya budget ya Amerikani inachangikiwa na coorporate companies na wamiliki wa hizo kampuni ni wa Israeli. Bila wayahudi Amerikani hamna kitu.
 
Kaka chunga maneno yako. Lile ni taifa teule utake usitake
 
Na hapo walishtukizwa maana walikua kwenye mfungo walivyo vamiwa
 
“All the peoples of the earth shall see that you are called by the name of the LORD, and they shall be afraid of you” (Deuteronomy 28:10).

“I will send my terror before you and will throw into confusion all the people against whom you shall come, and I will make all your enemies turn their backs to you” (Exodus 23:27-28).
 
"For I will take you from the nations, gather you from all the lands and bring you into your own land. "Then I will sprinkle clean water on you, and you will be clean; I will cleanse you from all your filthiness and from all your idols. "Moreover, I will give you a new heart and put a new spirit within you; and I will remove the heart of stone from your flesh and give you a heart of flesh. read more.
"I will put My Spirit within you and cause you to walk in My statutes, and you will be careful to observe My ordinances. "You will live in the land that I gave to your forefathers; so you will be My people, and I will be your God.
Ezekiel 37:21-25
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…