1881Okoza
JF-Expert Member
- Oct 3, 2022
- 693
- 949
Wana wa Israel wakielekea Nchi ya AhadiJapo mi naamini wao bado wanajichukulia kama ni taifa maalum hapa duniani kitu ambacho sio kwa sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana wa Israel wakielekea Nchi ya AhadiJapo mi naamini wao bado wanajichukulia kama ni taifa maalum hapa duniani kitu ambacho sio kwa sasa.
Hizo nchi za kiarabu wengi ni zero brain yani makubwa jinga..na isingekua mafuta wangekua wanaomba msaada wa kuchimbiwa vyoo kama sub saharan countries.
#MaendeleoHayanaChama
Ila hao watumwa wamejipanga asikwambie mtu, alafu ndiyo nchi pekee Ina kila watu waliopo duniani, mpaka mwarabu mmarekani na unamkuta anauchungu na nchi yake balaa!Marekani anakalinda siku akikaachia katabomolewa
Italy na christianity vinahusikaje na nchi za kiarabu kushindwa kui eliminate Israel ?Kama mngekuwa mnaifuatilia Italy ingekuwa vizuri sana maana ndio ndugu zenu na ndio waliyokuleteeni ukristo
Italy is officially a secular state. Christianity is the majority Religion followed by almost 84% of the population and Roman Catholicism is its main branch.
Lakini waisrael Wala hawana mpango na ukristo Sasa sijui kwa nini mnajipendekeza sana kwao
The religious affiliation of the Israeli population as of 2019[3] was 74.2% Jewish, 17.8% Muslim, 2.0% Christian, and 1.6% Druze. The remaining 4.4% included faiths
Ndio mana huwa nasema hakuna wakuiangusha America mana America ni kimbilio la kila race kuishi kwa uhuru na amani huku akitengeneza pesa na maisha.Ila hao watumwa wamejipanga asikwambie mtu, alafu ndiyo nchi pekee Ina kila watu waliopo duniani, mpaka mwarabu mmarekani na unamkuta anauchungu na nchi yake balaa!
Bado sijaelewa kabisaWayahudi = Wa Sabato
Wana vinasaba na Waislamu mkuu, umeelewa?
Unaongelea vitu vya zamani mnoNae naona anashambuliwa hasa kwa mbinu mpya za kivita mtandaoni (cyber warfare) mitandao ya Iran yake ya miundombinu ya nchi kwenye umeme iliwahi kuchakazwa
Israel ndo wanai.control Marekani kwa taarifa yako. Kwa asilimia kubwa ya budget ya Amerikani inachangikiwa na coorporate companies na wamiliki wa hizo kampuni ni wa Israeli. Bila wayahudi Amerikani hamna kitu.Tatizo hizo nchi zimegawanyika hazipo pamoja, halafu Israel inakingiwa kifua na kuungwa mkono na Marekani, wanapokea misaada mingi mikubwa kutoka Marekani, usijidanganye Israel bila Marekani si lolote si chochote, ndio maana kapigwa na Hezbollah tu , hizo nchi zote za kiarabu ni vibaraka wa Marekani.
Kaka chunga maneno yako. Lile ni taifa teule utake usitakeUmoja wa mataifa kuna mkataba wa America kuilinda Israel hadi mwisho wa dunia.
Lakini utambue kiasili lile taifa la Israel ni chimbuko la mataifa mengi tu ya ulaya na mwarabu ndugu ambae kidini ugomvi wao ulitabiriwa toka wanazaliwa.
Israel ukimfanyia ubaya hata baada ya miaka 100 lazima ajekulipiza kisasi kwa namna yo yote ile.
Japo mi naamini wao bado wanajichukulia kama ni taifa maalum hapa duniani kitu ambacho sio kwa sasa.
Na hapo walishtukizwa maana walikua kwenye mfungo walivyo vamiwaUmkhippor(speling) vita ya siku sita.
Matokeo yalikuwa hivi.
1. Syria kupoteza milima ya gollan
2. Misri kupoteza jangwa la sinai
3. Lebanon kupoteza ardhi
4. Palestina kupoteza 100% ya ardhi yake.
Only Misti alirudishiwa wbaada ya makubaliana na serekali ya israel.
Syria mpaka leo milima haijarudi.
Palestina kwa kuonewa huruma wakapewa mamlaka kwenye baadhi ya maeneo.
“All the peoples of the earth shall see that you are called by the name of the LORD, and they shall be afraid of you” (Deuteronomy 28:10).View attachment 2411770
Hii nchi kwangu inanishangaza sana, Ni ka nchi kadogo lakini manchi mengi makubwa yaliyodhamiria kuifuta kwenye rmani ya dunia hayajaweza mpaka leo. Ni mwendo wa kupigana, Ni sawa na Sungura na Tembo wanapigana kitu ambacho ni kama mazingaombwe.
Pia nimesoma historia kadhaa kuona kwamba nchi ndogo kama Israel ilizikalisha nchi kama sita hivi kubwa za kiarabu kwenye vita iliyochukua siku chache sana, Hii inawezekanaje?
"For I will take you from the nations, gather you from all the lands and bring you into your own land. "Then I will sprinkle clean water on you, and you will be clean; I will cleanse you from all your filthiness and from all your idols. "Moreover, I will give you a new heart and put a new spirit within you; and I will remove the heart of stone from your flesh and give you a heart of flesh. read more.View attachment 2411770
Hii nchi kwangu inanishangaza sana, Ni ka nchi kadogo lakini manchi mengi makubwa yaliyodhamiria kuifuta kwenye rmani ya dunia hayajaweza mpaka leo. Ni mwendo wa kupigana, Ni sawa na Sungura na Tembo wanapigana kitu ambacho ni kama mazingaombwe.
Pia nimesoma historia kadhaa kuona kwamba nchi ndogo kama Israel ilizikalisha nchi kama sita hivi kubwa za kiarabu kwenye vita iliyochukua siku chache sana, Hii inawezekanaje?