Inamaanisha nini kufuatilia bunge la Kenya zaidi kuliko bunge letu tukufu?

Kuna Watanzania wengi sana wanafuatilia kwa makini bunge la Kenya huku wakipuuza kufuatilia hata kidogo mambo yanayoendelea kwenye bunge lao, huko sio kukosa uzalendo.?

Pia Wakenya wenyewe hawafuatilii kabisa bunge letu, sijwahi kuona Mkenya ameposti mtandaoni kuhusu jambo lolote linaloendelea kwenye bunge letu. Sio kwamba tunajichoresha kufuatilia, kuzipa umuhimu na kufuatilia sana siasa za Kenya kama hii impeachment ya Gachagua?
Huwezi kuta nyuki dampo au kwenye mizoga!
 
Wabunge wa Tanzania walipewa dk 15 kuchangia hoja hasa ya bajeti hutumia dk 10 kumsifu Samia dk 3 kutaja miradi iliyopelekwa jimboni na dk2 kuchangia hoja tena tena bila kuwa na ufahamu wa kutosha.
 
Inamaanisha ukisha kuwa muajiriwa tayari wewe ni chawa wa bosi wako utafanya kazi ili kumng'arisha bosi wako na ofisi kiujumla ukijidai unataka kusifiwa wewe na ofisi ipate jina kubwa kwa ajili yako umekwisha maana itabidi uoneshe kwamba bosi hafai wewe ndio mtu Bora na hapo utachukiwa na bosi na hapo hutakaa kama sio kuhamishwa kukosa kibarua kabisa na utachongewa na chawa halisi wa ofisi kwa bosi hivyo chawa wa ofisi ndio wataokuondoa bosi yeye anamalizia tu mchezo.
 
Cons of Socialism.....(Zidumu fikra za mwenyekiti wa chama - kutoka kipindi hicho..imetuletea changamoto sana...Laiti Nyerere angejua kitu anachokitengeneza bila shaka yule mzee alivyokuwa statesman..angebadirisha mifumo na kasumba nyingi - alishtuka muda umemtupa mkono na yeye akaanza kuwa mpenzi mlalamikaji).
Tumeanza zama za Uchawa...katika kila sehemu - Bunge no exceptional...uchawa ndo utatumaliza zaidi, it is more fatal...than even socialism itself
 
Watu wamejanjaruka.

Nani atapoteza muda kusikiliza dakika 10 za mtu anatumia kumpongeza mama Abdul halafu anampomgeza mume /mke wake ?

Nani mwenye akili timamu atasikiliza hivyo vikao vya CCM kwenye ukumbi wa bunge uliojengwa kwa kodi za wananchi?
 
Kuna Watanzania wengi sana wanafuatilia kwa makini bunge la Kenya huku wakipuuza kufuatilia hata kidogo mambo yanayoendelea kwenye bunge lao, huko sio kukosa uzalendo.?

Pia Wakenya wenyewe hawafuatilii kabisa bunge letu, sijwahi kuona Mkenya ameposti mtandaoni kuhusu jambo lolote linaloendelea kwenye bunge letu. Sio kwamba tunajichoresha kufuatilia, kuzipa umuhimu na kufuatilia sana siasa za Kenya kama hii impeachment ya Gachagua?
We ulisikia wapi kuna bunge tukufu?
 
Jana nilikua kwenye ofisi ya serikali tena taasisi ya kubwa tu hapa nchini. Walikua wanaangalia bunge la Kenya tena wanawasifia sana. Tanzania bunge letu halina ushawishi hata kidogo. Bunge halina uwezo wa kuwajibisha serikali zaidi ya kusifia serikali tu hata sehemu inayohitaji kukosoa wao wanasifia.

Bunge ni dhaifu zaidi ya udhaifu wenyewe.
 
Letu wa ndioo!ni wengi hata hoja mbovu ni Akina Mwashambwa style!
 
Bunge la kenya na wakenya wote ni level ya ulaya sisi bungee limejaa la saba na vyeti feki na machawa wasaka tongee ni aibuu mtu makini kusikiliza bunge la Tanzania.
Hoja hakuna,mpina kasema ukweli nje katupwa!
 
Kuna Watanzania wengi sana wanafuatilia kwa makini bunge la Kenya huku wakipuuza kufuatilia hata kidogo mambo yanayoendelea kwenye bunge lao, huko sio kukosa uzalendo.?

Pia Wakenya wenyewe hawafuatilii kabisa bunge letu, sijwahi kuona Mkenya ameposti mtandaoni kuhusu jambo lolote linaloendelea kwenye bunge letu. Sio kwamba tunajichoresha kufuatilia, kuzipa umuhimu na kufuatilia sana siasa za Kenya kama hii impeachment ya Gachagua?
Bunge gani tukufu lililowekwa mfukoni?
 
Huku hakuna bunge kile ni kijiwe tu wanapiga soga tu,we ukishaona bunge kuutwa wageni wanaitwa mara pierre sjui poshy mara mwijaku sjui mandonga hakuna bunge pale wanawataniaa tu wtz

Ova
 
Jana nilikua kwenye ofisi ya serikali tena taasisi ya kubwa tu hapa nchini. Walikua wanaangalia bunge la Kenya tena wanawasifia sana. Tanzania bunge letu halina ushawishi hata kidogo. Bunge halina uwezo wa kuwajibisha serikali zaidi ya kusifia serikali tu hata sehemu inayohitaji kukosoa wao wanasifia.

Bunge ni dhaifu zaidi ya udhaifu wenyewe.
Tutawezaje kusema tuna bunge ilihali wabunge ni wamchongo na spika ni kama TV ambayo remote yake ipo Chamwino
 
Tafsir sahihi ya bunge ipo Kenya!
Hili hapa ni kikundi cha waliowekana kulinda maslahi mapana ya
1.chama
2.then wao,
3.mwananchi anakuja wa tatu, Usitegemee spika akaenda tofauti na chama hapa kwetu,uhuru huo hana!
 
Kuna Watanzania wengi sana wanafuatilia kwa makini bunge la Kenya huku wakipuuza kufuatilia hata kidogo mambo yanayoendelea kwenye bunge lao, huko sio kukosa uzalendo.?

Pia Wakenya wenyewe hawafuatilii kabisa bunge letu, sijwahi kuona Mkenya ameposti mtandaoni kuhusu jambo lolote linaloendelea kwenye bunge letu. Sio kwamba tunajichoresha kufuatilia, kuzipa umuhimu na kufuatilia sana siasa za Kenya kama hii impeachment ya Gachagua?
Democratic parliament (Kenya) & Autocratic parliament (Tanzania).
VITU vizuri vinafuatiliwa na kupendwa zaidi. Kenya Iko mbele yetu Kwa takribani miaka 1000 ndiyo tutakuja kuwafikia katika masuala ya demokrasia.

Tanzania demokrasia ni ya kuigiza, lakini kila kitu kinaamuliwa kutoka juu (Mzizi uliojichimbia chini zaidi ndiyo unatoa maamuzi ya mwisho). Bunge la TZ ni Rubber stamp ya Mzizi uliojichimbia chini zaidi.
 
Kuna Watanzania wengi sana wanafuatilia kwa makini bunge la Kenya huku wakipuuza kufuatilia hata kidogo mambo yanayoendelea kwenye bunge lao, huko sio kukosa uzalendo.?

Pia Wakenya wenyewe hawafuatilii kabisa bunge letu, sijwahi kuona Mkenya ameposti mtandaoni kuhusu jambo lolote linaloendelea kwenye bunge letu. Sio kwamba tunajichoresha kufuatilia, kuzipa umuhimu na kufuatilia sana siasa za Kenya kama hii impeachment ya Gachagua?
Ukiweka unafiki pembeni, utakubaliana na Ukweli mchungu Sana kwamba Bunge la Tanzania limepoteza mvuto, halina hadhi, na wananchi wengi Sana tayari wamelipuuza kwa sababu bunge hilo halina jipya.
 
Back
Top Bottom