Inaogofya sana kuona hakuna mtu wala taasisi inayokemea dhulma katika uchaguzi

G4N

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
4,283
Reaction score
9,925
Kwa jicho la kichawa unaweza kufurahia yanayoendelea, lakini kiukweli upendo, umoja na mshikamano wa watanzania vinadhoofu kila siku. Historia itakuja kutuhukumu kwa kutochukua hatua stahiki.

Ukimya na kutochukua hatua kwa:-
1. Watu wanaotekwa, wanaopotea na kuuawa.
2. Ubakwaji wa demokrasia wa wazi wazi.
3. Dhuluma ya mali na haki za watu.

Ipo siku yatatibuka, na kila mtu atajuta. Nilitegemea majeshi, mahakama, taasisi na wazee mashuhuri kuchukua hatua za makusudi k
 
heading ilipaswa kuishia na maneno haya : .....INAYOKEMEA DHULMA KTK CHAGUZI
 
TEC wanasema sana mkuu
 
Angalau TEC ina ujasiri kuibuka na kusema lakini viongozi wa baadhi ya madhehebu ya dini hichi kitakuwa kipimo chakuwatambua . speak the truth even if it will cost your life, keeping silence in the situation of injustice is to be in the oppressor 's side.
 
Wale waislam wanajiita dini ya haki wamehamia nchi gani?

Ameachiwa katibu wa TEC pekee
 
Wale waislam wanajiita dini ya haki wamehamia nchi gani?

Ameachiwa katibu wa TEC pekee
Wapo Kizimkazi wanaokula ngamia na kulamba asali
Utaongea nini una tonge mdomoni
 
Gentleman,
Yaani ushindwe uchaguzi halali kwenye sanduku la kura,

halafu uje kudai huruma kwa taasisi mballimbali, kwa visingizio visivyo na uhusiono? kweli?

that is nonsense 🐒
 
Unafiki tu. Wanasubiri kushiriki kwenye misiba!
 
Reactions: G4N
watu wanaogopa kuimbiwa parapanda we....
 
Reactions: G4N
Kweli kabisa hii ni khatari kabisa sio padri, shekhe wala mzee mwenye busara anakemea uchaguzi huu mbovu kabisa!
 
Reactions: G4N
Huu uchafuzi kura zimetumbukizwa na walimu kwenye masanduku kwa 99%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…