BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Nchi ina taasisi hii? wale TLS unawasikia now day? wakiba Mwambukusi?Kwa jicho la kichawa unaweza kufurahia yanayoendelea, lakini kiukweli upendo, umoja na mshikamano wa watanzania vinadhoofu kila siku. Historia itakuja kutuhukumu kwa kutochukua hatua stahiki.
Ukimya na kutochukua hatua kwa:-
1. Watu wanaotekwa, wanaopotea na kuuawa.
2. Ubakwaji wa demokrasia wa wazi wazi.
3. Dhuluma ya mali na haki za watu.
Ipo siku yatatibuka, na kila mtu atajuta. Nilitegemea majeshi, mahakama, taasisi na wazee mashuhuri kuchukua hatua za makusudi k