Inaonekana sana Dkt.Tulia Ackson anaogopa sana Uchaguzi. 2025 hakuna mbeleko itakuwaje?

Inaonekana sana Dkt.Tulia Ackson anaogopa sana Uchaguzi. 2025 hakuna mbeleko itakuwaje?

Rasterman

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Posts
33,856
Reaction score
44,204
Kauli na matendo ya Dr Tulia Ackson inaonekana hana amani kabisa na Uchaguzi ujao 2025.

Kauli na matendo yake yanaashiria kuvutia watendaji wa serikali wampe sapoti aweze kurudi bungeni.

Hata leo mmemsikia. Tar 5 februari akiwa Mwanza kwenye sherehe za Chama cha mapinduzi yeye pekee ndie aliyeonekana kituko kwa kurudia kauli zile zile zilizopitwa na wakati za ccm chama dola.

Je hii inatokana na hofu yake au ni subconscious statements tu?

Ni kwa vile alibebwa akijua hana sif! kuwa mbunge na hata za uspika?

2025 patachimbika hata ndani ya CCM wajumbe hawatakubali. Sasa itakuwaje?
 
Kuna baadhi ya majimbo naona CCM watayaachia bila shuruti 2025, kama Arusha mjini, Arumeru Mashariki, Moshi Mjini/ Vijijini, Hai, Babati, Karatu, Iringa Mjini, Njombe, Musoma Mjini,Tarime, Serengeti, Bunda, Kawe, Ubungo, Ukonga, Bukoba Mjini, na Shinyanga Mjini.

Kuna yale 50/50 kama majimbo ya mkoa wa Mwanza isipokuwa Nyamagana, Mbeya Vijijini, Same, Arumeru Magharibi, Mbulu, Singida Magharibi/Mashariki kutegemea na mgombea ataewekwa na Chadema, na mengine ..

Ila kuna majimbo mengine kama Mbeya Mjini patachimbika kutokana na nafasi ya mgombea wa kupitia CCM aliyonayo bungeni, sijui kama watakuwa tayari kukubali aibu ya Spika wa bunge kushindwa.
 
Kuna baadhi ya majimbo naona CCM watayaachia bila shuruti 2025, ila kuna mengine kama Mbeya Mjini patachimbika kutokana na nafasi ya mgombea wa kupitia CCM aliyonayo bungeni, sijui kama watakuwa tayari kukubali aibu ya Spika wa bunge kushindwa.
😅😅😅😅walilikoroga wenyewe sasa watalinywa
 
Kauli na matendo ya Dr Tulia Ackson inaonekana hana amani kabisa na Uchaguzi ujao 2025.

Kauli na matendo yake yanaashiria kuvutia watendaji wa serikali wampe sapoti aweze kurudi bungeni...
Shida yangu abadili hata mavazi basi?
 
Kuna baadhi ya majimbo naona CCM watayaachia bila shuruti 2025, Arusha mjini, Moshi Mjini/ Vijijini, Hai, Iringa Mjini, Njombe, Musoma Mjini,Tarime, Bunda na mengine....
Kuna uwezekano atabadili jimbo la kugombea vinginevyo hata uchawi hautasaidia
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]walilikoroga wenyewe sasa watalinywa
Ndio maana toka mwanzo nilishangaa kwanini Dr. Tulia aligombea Mbeya Mjini licha ya nguvu ya Sugu, kumbe waliandaa uporaji ndio sababu.
 
Ndio maana toka mwanzo nilishangaa kwanini Dr. Tulia aligombea Mbeya Mjini licha ya nguvu ya Sugu, kumbe waliandaa uporaji ndio maana.
Yeah alikuwa na uhakika iwe maji iwe damu atashinda
 
Chimbo analojifichia Ni barabara nne Mbeya mjini mbali na Hapo wamesha mshtukia..., hatapita 2025
 
Kwa cheo alicho nacho hakuna namna yyte ya Mbeya kwenda upinzani yaan haipo
 
LE_DAKTARI
tulia.jpg
 
Back
Top Bottom