Inaonekana sana Dkt.Tulia Ackson anaogopa sana Uchaguzi. 2025 hakuna mbeleko itakuwaje?

Kauli na matendo ya Dr Tulia Ackson inaonekana hana amani kabisa na Uchaguzi ujao 2025.

Kauli na matendo yake yanaashiria kuvutia watendaji wa serikali wampe sapoti aweze kurudi bungeni...
Mbeleko ilishakatika anatafuta pa kujishikiza.. Kuna tuhuma na shutuma kwamba mbeleko ya kwanza iliambatana na vingi, hili halina ushahidi lakini kama ni kweli basi ajiandae na mengi
 
Alifanywaje kwani@ Mshana jr
 
Kauli na matendo ya Dr Tulia Ackson inaonekana hana amani kabisa na Uchaguzi ujao 2025.

Kauli na matendo yake yanaashiria kuvutia watendaji wa serikali wampe sapoti aweze kurudi bungeni...
Hakuna kuchagua CCM 2025
 
Kauli na matendo ya Dr Tulia Ackson inaonekana hana amani kabisa na Uchaguzi ujao 2025.

Kauli na matendo yake yanaashiria kuvutia watendaji wa serikali wampe sapoti aweze kurudi bungeni...
Nice story, to a collector of fairy tales.
 
Kauli na matendo ya Dr Tulia Ackson inaonekana hana amani kabisa na Uchaguzi ujao 2025.

Kauli na matendo yake yanaashiria kuvutia watendaji wa serikali wampe sapoti aweze kurudi bungeni....
Hahaaaa Tulia anapiga dance ambazo sio zake
 
Katiba mpya, tume huru ya uchaguzi na uchaguzi huru na wa haki ndivyo vitamtoa Tulia kwenye jimbo la Mbeya Mjini na Sugu arudi. Over
 
Back
Top Bottom