BodGanleonid
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 3,021
- 4,348
Kila alipo anawaita watu wa vyombo wamkumbuke
Kila alipo anawaita watu wa vyombo wamkumbuke
Usipoteze muda wako hajawai kutokea mtu wa kuchukua ubunge wa spika wa bunge la JMT mpaka system imkatae. Spika akashindwe ubunge ? Kuwa spika aitokei bahati mbaya.Kauli na matendo ya Dr Tulia Ackson inaonekana hana amani kabisa na Uchaguzi ujao 2025.
Kauli na matendo yake yanaashiria kuvutia watendaji wa serikali wampe sapoti aweze kurudi bungeni...
Jifariji! Alinyofolewa Mtu Uspika mchana kweupe sembuse ubunge?Usipoteze muda wako hajawai kutokea mtu wa kuchukua ubunge wa spika wa bunge la JMT mpaka system imkatae .Spika akashindwe ubunge ? Kuwa spika aitokei bahati mbaya.
Alifanywaje kwani@ Mshana jr
Hii ndio system , system ikiwa na spika sahau ujinga unaodhani utatokea .Ni system pekee inaweza kumtoa spika sio uchaguzi wa makaratasi .Kama itakuuma vumiliaJifariji! Alinyofolewa Mtu Uspika mchana kweupe sembuse ubunge?
Ulishawahi dunia kokote Spika anayofolewa kama kumfukuza mlevi?? Basi Tanzania ni zaidi ya uijuavyo.
Sawa mkuu. Na system yenyewe ni ccmHii ndio system , system ikiwa na spika sahau ujinga unaodhani utatokea .Ni system pekee inaweza kumtoa spika sio uchaguzi wa makaratasi .Kama itakuuma vumilia
ndio hivyo mkuu ukisikia maneno kama ampishe mama , ajiuzuru TU , hapo utaandika barua ya kujiuzuru upende au usipende.Sawa mkuu. Na system yenyewe ni ccm
Kuna baadhi ya majimbo naona CCM watayaachia bila shuruti 2025, kama Arusha mjini, Arumeru Mashariki, Moshi Mjini/ Vijijini, Hai, Babati, Karatu, Iringa Mjini, Njombe, Musoma Mjini,Tarime, Serengeti, Bunda, Kawe, Ubungo, Ukonga, Bukoba Mjini, na Shinyanga Mjini.
Kuna yale 50/50 kama majimbo ya mkoa wa Mwanza isipokuwa Nyamagana, Mbeya Vijijini, Same, Arumeru Magharibi, Mbulu, Singida Magharibi/Mashariki kutegemea na mgombea ataewekwa na Chadema, na mengine ..
Ila kuna majimbo mengine kama Mbeya Mjini patachimbika kutokana na nafasi ya mgombea wa kupitia CCM aliyonayo bungeni, sijui kama watakuwa tayari kukubali aibu ya Spika wa bunge kushindwa.
Yaani kutwa yuko Mbeya na tu events uchwara uchwaraKauli na matendo ya Dr Tulia Ackson inaonekana hana amani kabisa na Uchaguzi ujao 2025.
Kauli na matendo yake yanaashiria kuvutia watendaji wa serikali wampe sapoti aweze kurudi bungeni.
Hata leo mmemsikia. Tar 5 februari akiwa Mwanza kwenye sherehe za Chama cha mapinduzi yeye pekee ndie aliyeonekana kituko kwa kurudia kauli zile zile zilizopitwa na wakati za ccm chama dola.
Je hii inatokana na hofu yake au ni subconscious statements tu?
Ni kwa vile alibebwa akijua hana sif! kuwa mbunge na hata za uspika?
2025 patachimbika hata ndani ya CCM wajumbe hawatakubali. Sasa itakuwaje?
Basi tutamroga afe. Maana hatumtaki.Usipoteze muda wako hajawai kutokea mtu wa kuchukua ubunge wa spika wa bunge la JMT mpaka system imkatae. Spika akashindwe ubunge ? Kuwa spika aitokei bahati mbaya.
Mara acheze ndombolo mara twist basi vurugu tupuYaani kutwa yuko Mbeya na tu events uchwara uchwara