Wanapenda ushindi lakini hawapendi kushindanaHii ni aibu kubwa 🤣🤣🤣
😅😅😅😅walilikoroga wenyewe sasa watalinywaKuna baadhi ya majimbo naona CCM watayaachia bila shuruti 2025, ila kuna mengine kama Mbeya Mjini patachimbika kutokana na nafasi ya mgombea wa kupitia CCM aliyonayo bungeni, sijui kama watakuwa tayari kukubali aibu ya Spika wa bunge kushindwa.
Shida yangu abadili hata mavazi basi?Kauli na matendo ya Dr Tulia Ackson inaonekana hana amani kabisa na Uchaguzi ujao 2025.
Kauli na matendo yake yanaashiria kuvutia watendaji wa serikali wampe sapoti aweze kurudi bungeni...
Kuna uwezekano atabadili jimbo la kugombea vinginevyo hata uchawi hautasaidiaKuna baadhi ya majimbo naona CCM watayaachia bila shuruti 2025, Arusha mjini, Moshi Mjini/ Vijijini, Hai, Iringa Mjini, Njombe, Musoma Mjini,Tarime, Bunda na mengine....
Ndio maana toka mwanzo nilishangaa kwanini Dr. Tulia aligombea Mbeya Mjini licha ya nguvu ya Sugu, kumbe waliandaa uporaji ndio sababu.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]walilikoroga wenyewe sasa watalinywa
Hii ndio itakuwa pona yake.Kuna uwezekano atabadili jimbo la kugombea vinginevyo hata uchawi hautasaidia
Yeah alikuwa na uhakika iwe maji iwe damu atashindaNdio maana toka mwanzo nilishangaa kwanini Dr. Tulia aligombea Mbeya Mjini licha ya nguvu ya Sugu, kumbe waliandaa uporaji ndio maana.
😅😅😅😅Kuna uwezekano atabadili jimbo la kugombea vinginevyo hata uchawi hautasaidia
Huyu dada ana sura mbayaShida yangu abadili hata mavazi basi?
Hawatumii uchawi wa ndumba......wanatumia uchawi wa Tume na.......Kuna uwezekano atabadili jimbo la kugombea vinginevyo hata uchawi hautasaidia
Kwani hana nguo? Hii iko nje ya mada sasa.Shida yangu abadili hata mavazi basi?
THubutu yakoKwa cheo alicho nacho hakuna namna yyte ya Mbeya kwenda upinzani yaan haipo
2025 hatoboiChimbo analojifichia Ni barabara nne Mbeya mjini mbali na Hapo wamesha mshtukia..., hatapita 2025
Unaota weweKwa cheo alicho nacho hakuna namna yyte ya Mbeya kwenda upinzani yaan haipo