Inaonekana sana Dkt.Tulia Ackson anaogopa sana Uchaguzi. 2025 hakuna mbeleko itakuwaje?

Kauli na matendo ya Dr Tulia Ackson inaonekana hana amani kabisa na Uchaguzi ujao 2025.

Kauli na matendo yake yanaashiria kuvutia watendaji wa serikali wampe sapoti aweze kurudi bungeni...
Usipoteze muda wako hajawai kutokea mtu wa kuchukua ubunge wa spika wa bunge la JMT mpaka system imkatae. Spika akashindwe ubunge ? Kuwa spika aitokei bahati mbaya.
 
Usipoteze muda wako hajawai kutokea mtu wa kuchukua ubunge wa spika wa bunge la JMT mpaka system imkatae .Spika akashindwe ubunge ? Kuwa spika aitokei bahati mbaya.
Jifariji! Alinyofolewa Mtu Uspika mchana kweupe sembuse ubunge?

Ulishawahi dunia kokote Spika anayofolewa kama kumfukuza mlevi?? Basi Tanzania ni zaidi ya uijuavyo.
 
IVi mpaka leo bado unawaza Africa tuna chaguzi au maamuzi ya dola nani abaki madarakani
 
Jifariji! Alinyofolewa Mtu Uspika mchana kweupe sembuse ubunge?

Ulishawahi dunia kokote Spika anayofolewa kama kumfukuza mlevi?? Basi Tanzania ni zaidi ya uijuavyo.
Hii ndio system , system ikiwa na spika sahau ujinga unaodhani utatokea .Ni system pekee inaweza kumtoa spika sio uchaguzi wa makaratasi .Kama itakuuma vumilia
 
Hii ndio system , system ikiwa na spika sahau ujinga unaodhani utatokea .Ni system pekee inaweza kumtoa spika sio uchaguzi wa makaratasi .Kama itakuuma vumilia
Sawa mkuu. Na system yenyewe ni ccm
 

Mbeya hakuna atakayesimama dhidi ya Tulia. Pengine mnategemea sugu, yule hawezi tena maana hana jipya zaidi ya kujisifia kwamba amejenga ghorofa.πŸ˜›πŸ˜†πŸ˜ƒ
 
Yaani kutwa yuko Mbeya na tu events uchwara uchwara
 
Usipoteze muda wako hajawai kutokea mtu wa kuchukua ubunge wa spika wa bunge la JMT mpaka system imkatae. Spika akashindwe ubunge ? Kuwa spika aitokei bahati mbaya.
Basi tutamroga afe. Maana hatumtaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…