Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 2,919
- 5,558
- Thread starter
-
- #61
Siyo muziki tu, ni sekta ya BURUDANI na UREMBO ikiwemo,, siki hizi na MICHEZO pia..
Asante mkuu ππΎππΎππΎSiyo muziki tu, ni sekta ya BURUDANI na UREMBO ikiwemo,, siki hizi na MICHEZO pia..
HAPANA
Sanaa inahitaji uwekezaji na uwe na watu sahihi hususani wanaoijua biashara ya muziki vizuri. Hapo utatoboa haswa ukiwa msikivu
Kuwa na kipaji au umaarufu ni jambo moja. Kuvigeuza kuwa pesa ni jambo jingine
Hayo mengine maovu yanamfuata kila mtu aliye na spotlight kwa hiyo mtu akiona hizo njia ndizo sahihi ni sawa pia.
Asante mkuu ππΎππΎππΎ
Mtu akikufuata na kukuambia ufanye ABC ili utoboe na ukakubali.. Hiyo ni juu yako ila ukiamua kukaza na ukatoka hata kwa kuchelewa kama Darasaa. Inawezekana pia
Kuna confession niliiona alikuwa anasema zendaya alie cheza marry Jane kwenye new spider wa kuanzia 2017 namaanisha thom Holland.It is ridiculous. Bora aishi miaka 40 yafuraha kuliko 70 ya shida. Majinga sana.
nikasome wapiHatuwezi kuweka kila kitu hapa..Acha uvivu kasome.
Umaarufu ni kama kinyesi , kikiwa tumboni harufu yake hainuki lakini ukinya tu hiyo harufu yake ni hatari mno!
nikasome wapi
Kuna confession niliiona alikuwa anasema zendaya alie cheza marry Jane kwenye new spider wa kuanzia 2017 namaanisha thom Holland.
Anasema sometimes wengine wanajoin bila kujua terms yani unapewa contract labda Usain company ya SONY.
After that wanakupa DEVILISH CONTENT uintroduce kupitia carrier yako either mziki au mpira au ni actor.
Na kumbuka hii wanaifanya kwa wale ambao wana potential kubwa na influence kubwa kwa watu kwa hiyo wanatumia njia hiyo kuwa sign in.
Sehemu yeyote ambayo iko na pesa mingi, deals nyingi, Connection kubwa, Panakua na mambo ya hovyo.
Utapata pesa na maisha safi, ila utaiacha nafsi yako nyuma saana, so utakaa kuitafuta furaha ya nje daily on material things, ila deep down kuna chembw chembe za kuto kuridhika.
juzi hapa bungeni waziri anatoa majibu yasiyoeleweka kuhusu academy kuwa na michezo michafu kwa watoto..Nilisikia kweli tena hapa hapa Tanzania kwenye mpira nako mambo si shwari tena dah inasikitisha.
Hii ishu ni pana sana aise kumbe hadi Eminem kaizungumzia kwenye huo wimbo.Mleta mada ulichokisema ,Eminem amekizungumzia hapa kwenye hii ngoma
View: https://youtu.be/EHkozMIXZ8w?si=QLHwqnXWQT51lxe3
juzi hapa bungeni waziri anatoa majibu yasiyoeleweka kuhusu academy kuwa na michezo michafu kwa watoto..
Mzee share your source na sisi tujifanyie uhakiki.Dunia ipo kiganjani. Ukipewa taarifa lazima ukaihakiki
Mzee share your source na sisi tujifanyie uhakiki.
Asante mkuu ππΎππΎππΎ
Mtu akikufuata na kukuambia ufanye ABC ili utoboe na ukakubali.. Hiyo ni juu yako ila ukiamua kukaza na ukatoka hata kwa kuchelewa kama Darasaa. Inawezekana pia
Sana mkuu, watu wanajua kila mtu ana tamaa ya fedha ila wakishaona upo desperate na tamaa imekuwaka. Hapo kukamatika ni rahisi sanaHakika. Watu waache tamaa mbaya.