Pre GE2025 Inaonekana Uamuzi wa Tundu Lissu kugombea tena unamuumiza kichwa Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lisu anajulikana mitandao tu, wananchi wa kawaida uko vijijini nani anamjua unaonekana utembei wewe
Ni kwel wananchi wanamjua vizuri sana haswa kwenye habari ya tozo ,sakata la ngorongoro, na bandari .
 
Hivi mnajua kwamba Mwakani 2025 Mgombea wa CCM atakuwa ni Samia Suluhu Hassan wakati Mgombea mwenza wake atakuwa Tundu A. Lissu

Jiandaeni Kwa hiyo Surprise labda Tundu akatae, ila Wazee wameshatumwa kuanza kumshawishi
Mungu akawe upande wa Haki, Amani na maendeleo kwa Taifa hili.
 
Hivi mnajua kwamba Mwakani 2025 Mgombea wa CCM atakuwa ni Samia Suluhu Hassan wakati Mgombea mwenza wake atakuwa Tundu A. Lissu

Jiandaeni Kwa hiyo Surprise labda Tundu akatae, ila Wazee wameshatumwa kuanza kumshawishi
ni kipi CCM walichokosa mpka wamshawishi Tundu lisu kuwa mgombea mwenza.

Hilo jambo haliwezekani.
 
Yupo moyoni mwake ndio maana mdomoni mwake hatoki
 
Yupo moyoni mwake ndio maana mdomoni mwake hatoki
 
Wajitahid wamshawishi apate cheo kikubwa bila hivyo, jamaa anajua kujenga na kutetea hoja atawasumbua
 
Tofautisha kati ya time na Nyakati.
Kila kitu kina sababu, mimi natka nijue sababu zipi zitapelekea CCM kumshawishi TL ahamie CCM na kuteuliwa kuwa mgombe mwenza.

Nichajua hizo ni probaganda wanazifanya kujaribu kupunguza ushawishi wa LIssu.
 
Kumbe ni watani sasa hiyo iitwayo hofu iko wapi ?!! [emoji44][emoji1787]

Mh.Rais anamjua mtani wake kuwa ni mtu wa KUTOTULIA...

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…