Inaposemwa mwanaume hawezi kuwa na mwanamke mmoja huashiria kwamba hata mkeo anaweza kuwa wa mwanaume mwingine

Wanawake 400+wanaenda kuachika..mwamba baltazar
egonga amejua kuwa nyorosha
hawa kima ..kutakuwa
naongezeko la masingle mama huko Guinea?
 
Shindikana katika ubora wako🤣🤣🤣
Sema unakutana na mashindikana wenzio. Sie wengine ni wakweli kabisaaaa🤣
😅😅 shindikana huwa mnasemaga hivyo tu
 
Mkuu mchezo huu wa kulana hupo toka kitambo, wewe kama huli mke wa mtu basi juwa wenzako wanamsalandia mkeo na pengine washamla tayari. Mwanamke kutongozwa ni muhimu kwani asipotongozwa hajioni kama wa maana katika jamii. Hamka na nenda mitaani katafute mwanamke wa kumla, wacha uvivu.
 
Point yako umeiweka kivisasi zaidi, kwamba mume anacheat na mwanamke nae alipize, Kitu ambacho ni tofauti kabisa nguzo ya nadharia inayodai mwanaume hawezi kukaa na mwanamke mmoja.

Binafsi nakubaliana na usemi wa kwamba kiasili mwanaume akuumbwa kuwa na mwanamke mmoja kwa sababu zifuatazo.

1. Takwa la kuijaza dunia.
Mwanaume mmoja anaweza kuwapa mimba wanawake wengi kwa mara moja tofauti na mwanamke mmoja ambae hawezi kubeba mimba za wanaume wemgi kwa pamoja.

2. Tendo la ngono.
Linapokuja suala la sex mwanaume yupo tayari 24 hrs lakini mwanamke ana excuses nyingi sana. Mara kachoka, mara yupo period, miezi michache baada ya kuzaa hamuwezi kufanya sex n.k kwa mwanaume kukabiliana na hizi changamoto njia pekee ni kuwa na wake wengi.
 
ALikuwa anamuweka bize na watoto kumbe yeye ana project yake,mshenzi sana yule
Kweli, jamaa ni all-rounded; pesa, elimu, high profile job, connection na royal family, exposure, muonekana na kazi kazi anavimudu vyema. Tabu yake utoto wa kujirekodi kama Mwijaku... shenzi sana.
 
Mleta mada hii mada uliyoileta inakanganya mi nimeshawahi kuona mtu hachepuki ila mkewe kicheche hii imekaaje?
 
Mbona unanilisha maneno boss,hiyo dhana ya kisasi na sijui mwanaume akicheat na mke acheat nimeisema wapi

Changia hoja lkn usinilishe maneno ili uipe nguvu hoja yako,hau nitendei haki
 
Kweli, jamaa ni all-rounded; pesa, elimu, high profile job, connection na royal family, exposure, muonekana na kazi kazi anavimudu vyema. Tabu yake utoto wa kujirekodi kama Mwijaku... shenzi sana.
Yan sijui alikuwa anawaza nini,kinacho sikitisha kuna ndoa kibao zitaparaganyika na ajira kadhaa zinapotea kwa ajili ya mshenzi mmoja kurekodi matukio,hakika ameleta tafaruku kubwa sana huko Guinea
 
Mleta mada hii mada uliyoileta inakanganya mi nimeshawahi kuona mtu hachepuki ila mkewe kicheche hii imekaaje?
Huwa iko hivyo huenda mwanandoa mmoja anachepuka na mwengine hachepuki au wengine ndio wanaweka ligi

Kuna legend mmoja huyo nampa saluti hakika anastahili ajengewe sanamu,unaambiwa mkewe ni mchepukaji mzuri tu,so alikuwa anatoka na mume wa mtu,so akaundiwa mob akabakwa na wanaume sita,wakati huo mume yupo safari

Akaharibiwa vibaya na mume ilimtoka pesa nyingi tu kumhudumia mkewe na kisha akamsamehe,hao watu wachache sana wenye moyo huo
 
Mtakuja tuu upande wangu. Mbususu ni za kushare wee mkeo akigegedwa huko nje wala usimind muhimu ni kumkaribisha njemba uumpe mkeo tamanio lake la kuwa na nyie wote wawili kwa pamoja. Mnagonga threesome safi kabisa kila mtu anafurahi.

Nae mke siku amakwambi bby mualike basi huyo mrembo tukuburudishe kwa pamoja. Hapo maisha ni murwaaaa
 
Aseee
 
Kweli kabisa boss,ndio huyo mwamba pamoja na kula wanawake 400+ bado mkewe hakujua chochote,wanaume tunaweza kutenganisha kati ya mke na hawara,,lkn mwanamke anawekeza hisia zote kwa mchempuko mpya,ingawa ni wachache sana wapo smart
Usmart kama anamaster mmewe, yaani kama anamtawala mmewe.

Vinginevyo ni rahisi sana kubainika kuanzia tabia zake za kila siku pamoja na ratiba zake.
 
Kweli kabisa boss,ndio huyo mwamba pamoja na kula wanawake 400+ bado mkewe hakujua chochote,wanaume tunaweza kutenganisha kati ya mke na hawara,,lkn mwanamke anawekeza hisia zote kwa mchempuko mpya,ingawa ni wachache sana wapo smart
Sasa hao walio smart inakuwa sio lengo lao kucheat ila anafanya hivyo ili kuokoa jambo fulani.
Kwa mfano mme wake amefukuzwa kazi ni jobless na hawana biashara yoyote sasa inabidi akalale na tajiri apate pesa akalipie watoto ada kwa siri bila mtu yeyote kujua,au mfano mwingine mme wake amekamatwa na polisi yuko lock up na hatotoka hadi pesa ilipwe na amehangaika kukopa kila mahali imegonga mwamba option ya mwisho inabidi akalale na tajiri ili apate pesa akalipe polisi mme wake aachiliwe kuwa huru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…