Tetesi: Inasemekana hali ya Steve Nyerere yazidi kuwa mbaya aomba kama kuna aliyemloga amsamehe

Idiot & wasted sperm..
 
Yesu Kristo ni mwenye huruma sana.
Akiri na Kutubu dhambi zake mapema atasamehewa na kwenda kwa amani. Kuliko kusingizia wachawi(Waliomloga)
 
Nasikia kale kaugonjwa ka kisasa ndio unamtafuna..Mungu amrehemu aisee kama ni kweli.
 
Iwapo huigizi, njoo kwa Bwana Yesu kristo, yaani OKOKA.... Hakuna uchawi kwa wana wa Mungu aliye hai.... Ila usiigize kama masanja. Mungu hadhihakiwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…