GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Anatufanya sote hapa ni Mipang'ang'a / Mipumbavu au?Yaan ndege iishe mafuta kwa kuzunguka dk 30??? We jamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatufanya sote hapa ni Mipang'ang'a / Mipumbavu au?Yaan ndege iishe mafuta kwa kuzunguka dk 30??? We jamaa
Ambayo ni ipi labda? Hebu tujuze Mkuu.
Sasa si useme amesemaje, unajua kuna baadhi ya wabongo vichwani km wamebeba maboga tu, wewe unasema chai haya eleza hayo maziwa uliyopewa, huna? Unatafuta ligi na wewe uonekane umesema, so stupid
Precision air wana case. Inakuwaje ndege iishiwe mafuta???Hivi ndivyo jinsi ajali ya ndege ya Precion Air ilivyotokea:
"Ndege ilikua ikiongozwa na ruban mmoja hivi anaitwa Rubanga mwingne jina lake sijalifahamu vizuri.Tatizo ililopata mpaka ndege ikaanguka ni matairi ya ndege kugoma kutoka na unaambiwa senior captain alitoa taarifa Tower kuhusu hilo tatizo ila wakachelewa kujibu, ikabidi ndege izunguuke angani kabla ya kutua ili wapate uvumbuzi wa tatizo.
Baada ya kuona kimya rubani akapiga tena simu Tower na kuwaambia nipeni muongozo maana mafuta yataisha nimezunguuka sana, Tower wakamjibu ipeleke ziwani timu ya uokozi haitachelewa kuja kuwaokoa.
Sasa wakati wa kuipeleka ziwani rubani akaigonga kwenye mwamba na mpaka ndege inazama Tower taarifa walikuwa nayo, Cabin Crew wawili ilibidi waruke nje na ndio wakapata msaada kwa wavuvi na hata hao abiria 23 wa mwanzo waliokolewa na wavuvi na mitumbwi ila sio Tower wala Jeshi la uokozi, yaani wamewaambia waipeleke ndege ziwani watakuja kuwaokoa halafu hawakuja na baada ya polisi kuja wakawafukuza wavuvi waliokuwa wanawaokoa watu.
Ona jinsi polisi walivyo wazembe wamefukuza wavuvi waliokuwa wanaokoa halafu wao wakakaa pembeni eti wanalinda mali za raia.
Kusema kweli this accident hakuna mtu aliyetakiwa kufa kama uokozi ungefanyika mapema."
View attachment 2408808
View attachment 2408809
Link hio hapoKuna video clip ipo kwenye ule uzi wa breaking news, nita kutag kwenye hiyo post...
Sasa ligi ya nini kwenye ajali mzee baba, clip ipo viral tayari na hata kwenye groups za whatsapp inatembea...
Link hio hapo
Bukoba: Ndege ya Precision Air yapata ajali Ziwa Victoria, watu 19 wafariki dunia
Precision air yapata ajali Bukoba ziwa Victoria === NDEGE YA PRECISION YAANGUKA ZIWA VICTORIA MJINI BUKOBA Ndege ya Shirika la Ndege la Precision, imeanguka ziwani mjini Bukoba, Mkoani Kagera asubuhi ya leo Novemba 6, 2022 Taarifa za awali zinaonesha ndege hiyo imeanguka ziwani, uokoaji...www.jamiiforums.com
Lete video clip acha kurukaruka
SingeliNchi hii sijui tunaweza kitu gani
Hawa wahanga wa ajali ndiyo waliiba na kuharibu Uchaguzi?Laana za kuiba na kuharibu uchaguzi wa 2015 na 2020,haya ndyo matokeo yake!
Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
Acha uchoko ukitaka matusi nitafurumushia hadi JF uione chungu, narudia tena wewe shoga Malaya acha uchoko kafirwe mbele uko
Kati ya vitu huwa havisumbui ni kilaza mmoja kujificha nyuma ya keyboard kuandika matusi...
Umetaka kujua video clip ilipo na nimekutag, sasa sijui wataka kupapaswa uwemba...
We jamaa una kiherehere kama changu wa Kimboka...
Nimekumention kwenye uzi husika mahali clip ilipo...
Huyu alieandika hivi ni kilaza au kiboga?👇Maana hili ni tusi tena ni tusi kubwa tu,
Mnakiburi cha uzima siyo? Unatukana kwasababu umeshiba kiporo cha kande hapo kwa shemeji yako. Kumbuka taifa linaomboleza sasa hivi.Acha uchoko ukitaka matusi nitafurumushia hadi JF uione chungu, narudia tena wewe shoga Malaya acha uchoko kafirwe mbele uko
Watu8 si umeulizwa Swali Jibu lako liko wapi?
Wewe umemtukana ndio maana ame-react laiti km usingemtukana msingefika uko, sometimes jifunze kupotezea sio lazima hadi utukane, au unaweza kuniambia maana ya ....kama Malaya wa Kimboka.... ulikua unamaanisha nini km sio tusi si unajua anachofanywa Malaya wa Kimboka au haukijui?Soma mtiririko post hadi post mkuu utaelewa, anzia mahali Lusungo kauliza, akaja Genta then akaja huyo jamaa...
Wewe umemtukana ndio maana ame-react laiti km usingemtukana msingefika uko, sometimes jifunze kupotezea sio lazima hadi utukane, au unaweza kuniambia maana ya ....kama Malaya wa Kimboka.... ulikua unamaanisha nini km sio tusi si unajua anachofanywa Malaya wa Kimboka au haukijui?
Hakuna maana umesikia hizo ndege wanakuja kuwasaidia wanawake zenu pia so nyie nendeni bar mkauze sura tuNchi hii sijui tunaweza kitu gani
Rubbish [emoji2781][emoji706] trashHivi ndivyo jinsi ajali ya ndege ya Precion Air ilivyotokea: