Tetesi: Inasemekana hii ndiyo sababu ya uhakika ya ajali ya ndege ya Precision Air

nchi inaweledi mkubwa sana katika kudhibiti waoinzani lakini mambo ya maana hatuwezi kabisaaa imagine mita miatano tu kufika runway watu wanakosa msaada mpaka wanakufa wengi kiasi hicho, nchi ya ajabu sana hii, mipolisi ni misukule tu ya kupiga wapinzani shame on you.
 
Wewe akili huna ,, dharura/emergency unaelewa?

Umeshindwa kutua means umepitiliza uwanjani kwa hio aendelee nyooka mbele Kuna kiwanja Cha mama yako ? Au akate Kona arudi ficha utahira wako
Comment yako tuu inaonesha tuu wewe ni Taahira Pro Max kuliko mimi.

Jenga hoja acha kuwa kama kibwengo.
 
Comment yako tuu inaonesha tuu wewe ni Taahira Pro Max kuliko mimi.

Jenga hoja acha kuwa kama kibwengo.
Kwa hio wewe hoja yako Ni uelekeo wa ndege 🤣 nasikitika kwa aliekubeba miezi Tisa ametuletea tahira ungeflashiwa tu wewe
 
Kila baada ya miaka 25 ziwa lazima liteme.
from MV Bukoba to precision kuna haja ya kupiga maombi pale.
 

Huu ni uongo
 
Stori yako chai tupu...

Moja ya manusura kasimulia sababu waliyoambiwa na rubani, na pia jinsi walivyotoka salama...
Huyo jamaa aliesimulia alikua chumba cha marubani??

Labda cha kumuuliza huyu mleta uzi ni yeye kaitoa wapi hii story yake!!

Huyo jamaa kaongea yale waliyokua wanaambiwa na rubani lakini ya kule ndani yeye hayajui, so huenda huko ndani hicho ndo kilichojiri ila rubani akawapooza abiria wake.

Anaejua kila kitu hayupo, acha tuendelee kupiga soga tu na kila mtu awe na lake maana hata serikali nayo naamini italeta majibu ya kutetea nafasi za wakubwa tu.
 
Uchunguzi lazima ufiche haya makosa
 
Tanzania tuna majitu mapumbavu mengi sana! Wewe haya nani amekusimulia wakati rubani mwenyewe amefariki? Halafu unaposema akaigongesha kwenye mwamba una uhakika? Yaani ndege igonge mwamba iache kulipuka? Wacha upumbavu boss!
 
Ukiangalia interview ya yule dogo aliyeokoa watu 23, kwa kutumia mtumbwi wa kasia, utapata picha kubwa sana kuhusu hiyo ajali. Hata kitendo cha kumchukua haraka haraka na kumpeleka huko alikopelekwa, ukiangalia sana, zile ni jitihada za kumtoa uraiani asiendelee kutoa facts za tukio akaendelea ku expose ukweli wa ile ajali.
 
Wewe ni mchunguzi??...
 
Stori yako chai tupu...

Moja ya manusura kasimulia sababu waliyoambiwa na rubani, na pia jinsi walivyotoka salama...
Kwa hiyo rubani aliwaambia abiria alichoambiwa na Tower?

Kama rubani aliamua kupunguza ukali wa maneno badala ya kusema tairi mbovu, akasema hali ya hewa ni mbaya, utajuaje?

Kama kweli tatizo ni hali ya hewa na siyo matairi, ni kwanini rubani azunguke kwa zaidi ya dakika 30 angani wakati muda huo wa nusu saa ungetosha kufika Mwanza na kutua salama?

Mimi hoja ya matairi kugoka kutoka ninaiafiki kwa sababu ingekuwa shida ni hali ya hewa,rubani angeipeleka ndege Mwanza ambapo ni mwendo wa nusu saa pekee. Ila kwa kuwa tatizo ni matairi kugoma kutoka, rubani hakuona sababu ya kubadili uwanja, maana hata angeenda Mwanza tatizo ni lilelile na ama pengine lingezidi.
 
Stori yako chai tupu...

Moja ya manusura kasimulia sababu waliyoambiwa na rubani, na pia jinsi walivyotoka salama...
Sababu ipi hiyooo?? Anyway mimi najua hiyo black box ambayo imeenda kufanyiwa uchunguzi itatupa majibu sahihi ya alichosema rubani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…