Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angekuwa Mbowe katembelea Bukoba kwa ziara za ndani, angekutana na jeshi linamsubiri wana vifaa, uniforms, deraya, majiwasha, full battalion na wa akiba wapo standby.Nchi hii sijui tunaweza kitu gani
Tunaweza ufisadi, majungu, uzembe, ubabaishaji, uzururaji na roho mbaya. Eti hawa nao waliosababisha upuuzi huu wanajiona na kujiita wazalendo? Ngoja China iwabane waeleze ilikuwaje wachina wafe kirahisi hivi.Nchi hii sijui tunaweza kitu gani
Mataifa ya kiswahili hovyo. Utaona polisi na zana mpya za kuumiza waandamanaji wakati hakuna dawa wala vitabu mashuleni achia mbali uokoaji. Heri hii ingekuwa ndege ya rais au waziri mkuu huenda wangetia akilini.Angekuwa Mbowe katembelea Bukoba kwa ziara za ndani, angekutana na jeshi linamsubiri wana vifaa, uniforms, deraya, majiwasha, full battalion na wa akiba wapo standby.
Lakini kuwaokoa wananchi wanaolipa kodi za mishahara yao limegeuka zoezi la aibu sana
Rais atambue kuwa yupo peke yake. Na ataona signs kibao zinakuja kumthibitishia hilo. Yeye ni taasisi anapaswa kujua la kufanya
Akili mbovu km hii ya kuamini ajali ni laana ndio mnataka mtuongoze?Laana za kuiba na kuharibu uchaguzi wa 2015 na 2020,haya ndyo matokeo yake!
Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
Baada ya kuona kimya rubani akapiga tena simu Tower na kuwaambia nipeni muongozo maana mafuta yataisha nimezunguuka sana, Tower wakamjibu ipeleke ziwani timu ya uokozi haitachelewa kuja kuwaokoa.Hivi ndivyo jinsi ajali ya ndege ya Precion Air ilivyotokea:
"Ndege ilikua ikiongozwa na ruban mmoja hivi anaitwa Rubanga mwingne jina lake sijalifahamu vizuri. Tatizo ililopata mpaka ndege ikaanguka ni matairi ya ndege kugoma kutoka na unaambiwa senior captain alitoa taarifa Tower kuhusu hilo tatizo ila wakachelewa kujibu, ikabidi ndege izunguuke angani kabla ya kutua ili wapate uvumbuzi wa tatizo.
Baada ya kuona kimya rubani akapiga tena simu Tower na kuwaambia nipeni muongozo maana mafuta yataisha nimezunguuka sana, Tower wakamjibu ipeleke ziwani timu ya uokozi haitachelewa kuja kuwaokoa.
Sasa wakati wa kuipeleka ziwani rubani akaigonga kwenye mwamba na mpaka ndege inazama Tower taarifa walikuwa nayo, Cabin Crew wawili ilibidi waruke nje na ndio wakapata msaada kwa wavuvi na hata hao abiria 23 wa mwanzo waliokolewa na wavuvi na mitumbwi ila sio Tower wala Jeshi la uokozi, yaani wamewaambia waipeleke ndege ziwani watakuja kuwaokoa halafu hawakuja na baada ya polisi kuja wakawafukuza wavuvi waliokuwa wanawaokoa watu.
Ona jinsi polisi walivyo wazembe wamefukuza wavuvi waliokuwa wanaokoa halafu wao wakakaa pembeni eti wanalinda mali za raia.
Kusema kweli this accident hakuna mtu aliyetakiwa kufa kama uokozi ungefanyika mapema."
View attachment 2408808
View attachment 2408809
Hivi ndivyo jinsi ajali ya ndege ya Precion Air ilivyotokea:

Inatokea upande wa ziwani..Kwani wewe unavyofahamu kwa ile Airport ya Bukoba ndege ikianza kutua, huwa inatokea upande upi kuelekea runway?
Kasemaje?Stori yako chai tupu...
Moja ya manusura kasimulia sababu waliyoambiwa na rubani, na pia jinsi walivyotoka salama...
Kuna watu wapumbavu sana.Aliyeshikiwa mwamvuli wakati wenzie wanapigania maisha yao mita chache kutoka kwake Mungu anakuona
Stori yako chai tupu...
Moja ya manusura kasimulia sababu waliyoambiwa na rubani, na pia jinsi walivyotoka salama...
Hii nchi imeoza kabisa,viongozi wa kisiasa wapo kulinda maslahi yao,hawatoi uongozi wowote,TISS,wamelala,JWTZ wamelala,nchi imejaa incompetence kila Kona,hii nchi hata Ikulu inaweza ikavamiwa,na walinzi hawatajua!!Hivi ndivyo jinsi ajali ya ndege ya Precion Air ilivyotokea:
"Ndege ilikua ikiongozwa na ruban mmoja hivi anaitwa Rubanga mwingne jina lake sijalifahamu vizuri. Tatizo ililopata mpaka ndege ikaanguka ni matairi ya ndege kugoma kutoka na unaambiwa senior captain alitoa taarifa Tower kuhusu hilo tatizo ila wakachelewa kujibu, ikabidi ndege izunguuke angani kabla ya kutua ili wapate uvumbuzi wa tatizo.
Baada ya kuona kimya rubani akapiga tena simu Tower na kuwaambia nipeni muongozo maana mafuta yataisha nimezunguuka sana, Tower wakamjibu ipeleke ziwani timu ya uokozi haitachelewa kuja kuwaokoa.
Sasa wakati wa kuipeleka ziwani rubani akaigonga kwenye mwamba na mpaka ndege inazama Tower taarifa walikuwa nayo, Cabin Crew wawili ilibidi waruke nje na ndio wakapata msaada kwa wavuvi na hata hao abiria 23 wa mwanzo waliokolewa na wavuvi na mitumbwi ila sio Tower wala Jeshi la uokozi, yaani wamewaambia waipeleke ndege ziwani watakuja kuwaokoa halafu hawakuja na baada ya polisi kuja wakawafukuza wavuvi waliokuwa wanawaokoa watu.
Ona jinsi polisi walivyo wazembe wamefukuza wavuvi waliokuwa wanaokoa halafu wao wakakaa pembeni eti wanalinda mali za raia.
Kusema kweli this accident hakuna mtu aliyetakiwa kufa kama uokozi ungefanyika mapema."
View attachment 2408808
View attachment 2408809
Imenishangaza sana aisee, yaan anaogopa suti yake isilowe daahAliyeshikiwa mwamvuli wakati wenzie wanapigania maisha yao mita chache kutoka kwake Mungu anakuona
Ndege siyo bodaboda inayowekwa mafuta nusu lita, mafuta iliyokuwa nayo ingeweza kufika Arusha.Hivi ndivyo jinsi ajali ya ndege ya Precion Air ilivyotokea:
"Ndege ilikua ikiongozwa na ruban mmoja hivi anaitwa Rubanga mwingne jina lake sijalifahamu vizuri. Tatizo ililopata mpaka ndege ikaanguka ni matairi ya ndege kugoma kutoka na unaambiwa senior captain alitoa taarifa Tower kuhusu hilo tatizo ila wakachelewa kujibu, ikabidi ndege izunguuke angani kabla ya kutua ili wapate uvumbuzi wa tatizo.
Baada ya kuona kimya rubani akapiga tena simu Tower na kuwaambia nipeni muongozo maana mafuta yataisha nimezunguuka sana, Tower wakamjibu ipeleke ziwani timu ya uokozi haitachelewa kuja kuwaokoa.
Sasa wakati wa kuipeleka ziwani rubani akaigonga kwenye mwamba na mpaka ndege inazama Tower taarifa walikuwa nayo, Cabin Crew wawili ilibidi waruke nje na ndio wakapata msaada kwa wavuvi na hata hao abiria 23 wa mwanzo waliokolewa na wavuvi na mitumbwi ila sio Tower wala Jeshi la uokozi, yaani wamewaambia waipeleke ndege ziwani watakuja kuwaokoa halafu hawakuja na baada ya polisi kuja wakawafukuza wavuvi waliokuwa wanawaokoa watu.
Ona jinsi polisi walivyo wazembe wamefukuza wavuvi waliokuwa wanaokoa halafu wao wakakaa pembeni eti wanalinda mali za raia.
Kusema kweli this accident hakuna mtu aliyetakiwa kufa kama uokozi ungefanyika mapema."
View attachment 2408808
View attachment 2408809
Hivi unajua kutua kawaida?kama imetua kawaida iweje itumbukie ziwani ??Ndege haikugoma kutoka magurudumu, imetua kawaida ila imepitiliza barabara ya kurukia. Sababu ziko nyingi tu zinazoweza kusababisha hayo kutokea na hii siyo mara ya kwanza na haitokuwa ya mwisho zinapitiliza kila siku ulimwenguni kote, kwa sababu tofauti.
hata mimi imenishangaza sanaAliyeshikiwa mwamvuli wakati wenzie wanapigania maisha yao mita chache kutoka kwake Mungu anakuona