Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Sekunde 12 tu bro, angalia mimba hizo toa namba mzabzab aunge GB 8 za chapNina mb 43 !unanitakia mema kwelu wewe?
Sekunde 12 tu bro, angalia mimba hizo toa namba mzabzab aunge GB 8 za chapNina mb 43 !unanitakia mema kwelu wewe?
Aya zoomSasa unasubiria nini, mambo kwa ushahidi lete picha ndugu mpishi.....
Kama mwanaume huwa inaumiza sana kuona unashindwa kupata mtoto.
Hiyo ni mimba halisi achana na yule Maimasa.
Mmh!!Hii imenipa maswali sana kwahy jux hawezi kabisa kubebesha mwanamke mimba kwa picha nilio iona ni kwamba mwanamke kavaa zile mimba bandia inaonyesha kabisa na huyo aliyetuma picha hizo kwa group alisema wanafanya adoption na sio kwamba mkewe ni mjamzito
Kwahiyo mwamba katuangusha sana kwenye ili jambo duh sherehe zote zile af mtoto una enda kuadopt
😆😆😆😆si manyama uzembe tu hayo jamani.
Ahaaa😆😆😆😆si manyama uzembe tu hayo jamani.
Kumbe na wewe una msikilizaHiyo ni mimba halisi achana na yule Maimasa.
Tatizo unakaa jikoni Sana unajipikirisha mpaka unasahau kujua what is real what is fake.
Daah eti anajipikilisha!😂😂Hiyo ni mimba halisi achana na yule Maimasa.
Tatizo unakaa jikoni Sana unajipikirisha mpaka unasahau kujua what is real what is fake.
Na tena anakwambia unajipikilisha sana😂😂😂.Kumbe na wewe una msikiliza
Na wewNa tena anakwambia unajipikilisha sana😂😂😂.
Kenge ziko na shida kubwa.Ni private life though, tutaendelea sana wabongo tukiacha kufuatilia maisha binafsi ya watu, akiadopt au akizaa au akiamua kuishi kwa kuchapa tu bila watoto sisi kenge inatuhusu nini
Uko serious kabisa!? Yani hatari how!? Mambo yake yanakuaje hatari..!!?Duh! Mbona hatari sasa hii
Wewe alikumwagia ukashindwa kubeba mimba?Ningeweza ku screenshot uone ilo tumbo lilivyo ungeniamini