Inasemekana Juma Jux na mkewe wana mpango wa kufanya Adoption

Kuna watu tuna macho ya kuona mimba hata ya mwezi. Kwani ujauzito wa kupandikiza mimba haiwi changa
Unataka kusema mlikua mkiona mimba changa kipindi hicho cha harusi na kwa mavazi yale?....haya bhana ngoja tusibishane uwenda ni kweli wengine mna macho ya mionzi.
 
Hii imenipa maswali sana kwahy jux hawezi kabisa kubebesha mwanamke mimba kwa picha nilio iona ni kwamba mwanamke kavaa zile mimba bandia inaonyesha kabisa na huyo aliyetuma picha hizo kwa group alisema wanafanya adoption na sio kwamba mkewe ni mjamzito

Kwahiyo mwamba katuangusha sana kwenye ili jambo duh sherehe zote zile af mtoto una enda kuadopt
Mkuu kushindwa kumpa mtu mimba ni ugonjwa .Asa kakuangusha vipi hapo .we shukuru mungu kizazi chako Kiko salama.
 
Hii imenipa maswali sana kwahy jux hawezi kabisa kubebesha mwanamke mimba kwa picha nilio iona ni kwamba mwanamke kavaa zile mimba bandia inaonyesha kabisa na huyo aliyetuma picha hizo kwa group alisema wanafanya adoption na sio kwamba mkewe ni mjamzito

Kwahiyo mwamba katuangusha sana kwenye ili jambo duh sherehe zote zile af mtoto una enda kuadopt
Kama vip nenda wewe kambebee mimba
 
Back
Top Bottom