Inasemekana Juma Jux na mkewe wana mpango wa kufanya Adoption

Inasemekana Juma Jux na mkewe wana mpango wa kufanya Adoption

Unazingua ujue

wakati mwingine wapo baadhi ya me, wanashindwa kutungisha mimba sio ajabu, Ila kwa muhusika ndo ana feel hard ......

zipo familia mbili nshaziona hawakubarikiwa watoto na sasa wamezeeka,,
 
Jamani mbona mkewe ana mimba na hata kipindi kile cha harusi alikua anaonekana kabisa kua ana mimba.
Acha kutudanganya hapa mkuu yaani kipindi kile cha harusi na zile nguo za kubana alizokua anavaa unataka kusema kuwa alikua mjamzito?,, labda kama ni ujauzito wa IVF (kupandikiza)
 
Hii imenipa maswali sana kwahy jux hawezi kabisa kubebesha mwanamke mimba kwa picha nilio iona ni kwamba mwanamke kavaa zile mimba bandia inaonyesha kabisa na huyo aliyetuma picha hizo kwa group alisema wanafanya adoption na sio kwamba mkewe ni mjamzito

Kwahiyo mwamba katuangusha sana kwenye ili jambo duh sherehe zote zile af mtoto una enda kuadopt
Kakuangusha wewe na kina nani? Mtu kama wewe ni kirusi kwenye maisha ya watu... huna ustaarabu kabisa na umejawa wivu, chuki na roho mbaya sana. JIREKEBISHE
 
Hii imenipa maswali sana kwahy jux hawezi kabisa kubebesha mwanamke mimba kwa picha nilio iona ni kwamba mwanamke kavaa zile mimba bandia inaonyesha kabisa na huyo aliyetuma picha hizo kwa group alisema wanafanya adoption na sio kwamba mkewe ni mjamzito

Kwahiyo mwamba katuangusha sana kwenye ili jambo duh sherehe zote zile af mtoto una enda kuadopt
kabisa
 
Acha kutudanganya hapa mkuu yaani kipindi kile cha harusi na zile nguo za kubana alizokua anavaa unataka kusema kuwa alikua mjamzito?,, labda kama ni ujauzito wa IVF (kupandikiza)
Kuna watu tuna macho ya kuona mimba hata ya mwezi. Kwani ujauzito wa kupandikiza mimba haiwi changa
 
Eeeh waja sasa, huoni ata pua ya priscilla, mimi niligundua ni mjamzito siku ile ya sherehe yao ya TZ pua ilikua inaonesha kabisa plus kalikua kamechooka mimi i believe ni mjamzito.
 
Back
Top Bottom