Inasemekana Juma Jux na mkewe wana mpango wa kufanya Adoption

Tafsiri ya mtoto ni yule ambaye umehusika katika malezi yake in one way or another .


Adopt ni njia bora sana ambayo kwanza unakuwa Kama una give back to the community na Mungu alivyo mkubwa adoption kids wanakuwaga bright Sana kichwani nawafananisha na wale watoto wa nje ya ndoa.


Kuna. Mama amefanya hivyo na mtoto aliyemchukua amekuwa sasa MTU mzima wanaishi kwa raha Sana.

The good news yule mtoto anampambania sana mama yake ile mbaya.
 
Mmh!!
 
Ndio nani hao, huko samialand?
Ni wajumbe au wagombea ubunge au ni local celebrities?
 
Ni private life though, tutaendelea sana wabongo tukiacha kufuatilia maisha binafsi ya watu, akiadopt au akizaa au akiamua kuishi kwa kuchapa tu bila watoto sisi kenge inatuhusu nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…