#COVID19 Inasemekana kirusi cha COVID-19 aina ya Delta kimeingia Mwanza

Pumba tupu.
 
Dhalim aliwalisha mataga ujinga mwingi na wao wameumeza wote
 
Kuchukua tahadhari ni jambo la muhimu sana kuepukanaba maradhi haya. Tatizo kunawatu wanataka watanzania tuishi kwa hofu sana na ikiwezekana tujifungie ndani kila siku kwa sababu ya covid.
 
Kwa Mwanza kila kitu kinawezekana, we mtu alale na ng'ombe ama kumlamba udenda mbuzi atakuwa salama kweli? Wasukuma na Wanyamawezi bwana, yaani basi tu. Nasema sitaki mpuuzi yeyote aniite 'Mnyamwezi,' mwiko!
 
Makampuni ya madawa na bayoteknolojia hawajafika malengo ya boss. Ni sawa na dereva boda ua bajaji.
 
Story za covid zimekuwa za kiimani kama ujio wa Yesu.

Wapo watu wako tayari kwa lolote,na halitokei.

Wapo mbuzi wanatamani wasikie likitokea jambo na hiyo corona lakini kimya.

Kwa mapuuza ya watz,corona ingekuwa ugonjwa serious unaovizia mistakes za kujinga,asingebaki mtu bongo hapa.

Tena siku hizi kwenye mabasi naona hata ukikooa watu hawashtuki kama zamani.
 
Zile sala ambazo Magufuli pamoja na baadhi ya viongozi wa dini walituaminisha kwamba zilisaidia kuondoa covid 19 kipindi kile mbona sasa haziongelewi tena..!!

Hii nchi imejaa sana usanii. 🤣 🤣
 
Mleta bandiko alivyoandika kama vile alikuwa anaombea hili gonjwa lije haraka lilikuwa linachelewa kufika. Kama wewe ni mnufaika na huu ugonjwa ficha hata hisia zako.
 
ugonjwa wa kwanza uoiisha bila tahadhali, tuliambiwa tusiogope tuishi nao kama magonjwa mengine. tusiache sala. mimi ni mpanda basi mzuri, naona ugonjwa tz uenda hatamia anaoowasema mama washapungua wamebaki 50
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…