#COVID19 Inasemekana kirusi cha COVID-19 aina ya Delta kimeingia Mwanza

#COVID19 Inasemekana kirusi cha COVID-19 aina ya Delta kimeingia Mwanza

Wewe ndugu umeamua tu kumshambulia huyo swahiba....

Unatuletea ARGUMENTUM AD HOMINEM tu....sasa huo udaktari ulimtunuku wewe?!!!

Hivi wewe unaweza kumdisqualify msomi ,daktari ,profesa kwa sababu tu umetofautiana naye kauli ,mtazamo na fikra ?!!!

Wewe utamfinya nani na kumtuliza?!!

Mizinguo hiyo.....

Unaleta pang'ang'a za kitoto Sana....una miaka 19 ?!!!
Ukifuatilia sana ni Mpori mpori wa mikoa tetesi......
Anajisahau na kutupia kilugha hapa na pale...
Bado yuko kwenye mfadhaiko........kisaokolojia ,
Ni Tutusa fulani limepata simu janja...
 
Tupigwe Chanjo, kazi iendelee.
Naam.....

Baadhi wanakataa chanjo ilihali ndugu zao wanasafiri na wengine kwenda kufanya ibada za Hija Makka na Bethlehem.....

Yaani MADAKTARI na manesi wetu wanaotupambania afya zetu WASICHOMWE CHANJO ili wamalizike ?!!

Mijitu inasahau kuwa hao MADAKTARI na manesi wanawatibu wagonjwa wa UVIKO na jioni wanarejea kwenye familia zao ,na pia kujumuika nasi MABAA na VIJIWE VYA KAHAWA ...

Sasa wanataka waeneze UVIKO na kutufanya tupukutike sote wao na sisi raia?!!!

WANAOPINGA CHANJO ni wajinga KUPITILIZA.......

#KaziIendelee
 
Ukifuatilia sana ni Mpori mpori wa mikoa tetesi......
Anajisahau na kutupia kilugha hapa na pale...
Bado yuko kwenye mfadhaiko........kisaokolojia ,
Ni Tutusa fulani limepata simu janja...
🤣🤣🤣
Huyo jamaa ni bonge la ndwanye , hobobo fulani hivi.....
 
Rwanda wametangaza lockdown nyingine na wanafunzi wameanza kurudishwa nyumbani.
Kumbuka Rwanda ni ya kwanza kabisa kuchanja watu wake.
Chanjo zote Duniani za magonjwa ,huchukua majaribio ya miaka kuanzia 5 mpaka 10 ndio ziingizwe kwa watumiaji.


Tatizo nikwamba, UVIKO unasambaa kwa kasi , unaua chapchap , DUNIA ifanyaje ??

Ndio maana Dunia imekuja na chanjo zilizojaribiwa ndani ya mwaka tu


Mbona wachina wamefaulu ,kupitia chanjo yao?.
 
Niko Mwanza na ninazunguka maeneo mengi kwa wiki, Shughuli zinaendelea kama kawaida.

Kwetu ni Igogo na nisehemu yenye population kubwa, sijasikia habari za watu kuugua korona.

Ninao marafiki kibao Kirumba, Malimbe, Igoma n.k, Na nisehemu zenye mikusanyiko mikubwa lakini hakuna habari ya korona huko pia.

Mahari napoishi pia sijasikia habari za ugonjwa wala vifo vilivyosababishwa na korona.

Pengine walipaswa watoe ufafanuzi vizuri kwa sababu si kwamba oxygen nikwajili ya wagonjwa wa korona pekeake.

Kwa uhaba huo wa oxygen na ugonjwa huu unavyoenea kwa kasi tayari majibu yangekuwa yameshaonekana mitaani (vifo kama ilivyo uko uganda)
 
Naam.....

Baadhi wanakataa chanjo ilihali ndugu zao wanasafiri na wengine kwenda kufanya ibada za Hija Makka na Bethlehem.....

Yaani MADAKTARI na manesi wetu wanaotupambania afya zetu WASICHOMWE CHANJO ili wamalizike ?!!

Mijitu inasahau kuwa hao MADAKTARI na manesi wanawatibu wagonjwa wa UVIKO na jioni wanarejea kwa familia zao ,na pia kujumuika nasi MABAA na VIJIWE VYA KAHAWA ...

Sasa wanataka waeneze UVIKO na kutufanya tupukutike sote wao na sisi raia?!!!

WANAOPINGA CHANJO ni wajinga KUPITILIZA.......

#KaziIendelee
Mkuu bora wewe umetuonea huruma .


Embu fikiria Mtu unatumia masaa mengiii, ndani ya wodi la UVIKO, na nikila siku

Alafu mpuuzi mmoja anakuambia, Hatutaki chanjoo

Maninaaaa !! Watu wabinafsi kinyama.
 
Covid 19 is real and so do the Delta variant. Take precautions, its not a rocket science,simply mask wearing, social distancing, and observing normal hygiene standards and practices like washing hands etc. If symptoms persist, consult a physician
Covid ni Propaganda
 
Achana nakoo

Wadudu wamekavamia ubongon

Hawa watu huwa hawana tofauti na wavuta bangi

Wana makasiriko haoooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu huyo Kichwa chake ni kibovu tu....

Bangi inavutwa vyema tu na watu kufanya yao....ingekuwa Jamaica ina vichwa vibovu kama huyo "Popoma" basi WHO ingetutangazia kama JANGA 🤣

Ok huku kitaa na masela wangu sisi tunaisubiri kwa hamu kubwa hiyo chanjo......

#KaziIendelee
 
Mkuu huyo Kichwa chake ni kibovu tu....

Bangi inavutwa vyema tu na watu kufanya yao....ingekuwa Jamaica ina vichwa vibovu kama huyo "Popoma" basi WHO ingetutangazia kama JANGA [emoji1787]

Ok huku kitaa na masela wangu sisi tunaisubiri kwa hamu kubwa hiyo chanjo......

#KaziIendelee
Mkuu kwa pamoja tunaisubiri .


Uwe na usiku mwema
 
Mkuu bora wewe umetuonea huruma .


Embu fikiria Mtu unatumia masaa mengiii, ndani ya wodi la UVIKO, na nikila siku

Alafu mpuuzi mmoja anakuambia, Hatutaki chanjoo

Maninaaaa !! Watu wabinafsi kinyama.
We acha tu....

Hao wabinafsi na akili hawana....

Tunakwenda vituo vya afya kila siku....Sasa unakwenda kutibiwa na Daktari na Nesi mwenye UVIKO...tutakosaje na sisi ?!!!

Then baada ya muda WAPUKUTIKE wataalamu wetu wa afya na sisi.....

Wataalam wenyewe wachache...

Yaani Serikali inasomesha hao wataalam kwa muda mrefu....
HESLB inawasomesha kwa muda mrefu.....
Wazazi ,ndugu na jamaa wamejipukutisha "masimbi " Yao ili wasome.....
Wengi wao vijana hata RETURN ya jasho lao hawajaliona ...halafu "ming..e" fulani inatuletea PANG'ANG'A na USHUBWADA wa kukataa chanjo simply tu kwa UJINGA WAO NA CONSPIRACY THEORIES za wanaa wenye hisia koko.....Khaaaa

Pathetic
 
Mkuu kwa pamoja tunaisubiri .


Uwe na usiku mwema
Amiin daktari 🙏

Nawe pia komredi,thanks....ulale uamke ukatutumikie.....sisi wengine tunathamini mchango wenu mkubwa kwa ujenzi wa taifa letu bora....!!

Siempre Camarada!
Yetzer ha-tov!

#KaziInaendelea
 
Chanjo zote Duniani za magonjwa ,huchukua majaribio ya miaka kuanzia 5 mpaka 10 ndio ziingizwe kwa watumiaji.


Tatizo nikwamba, UVIKO unasambaa kwa kasi , unaua chapchap , DUNIA ifanyaje ??

Ndio maana Dunia imekuja na chanjo zilizojaribiwa ndani ya mwaka tu


Mbona wachina wamefaulu ,kupitia chanjo yao?.
👍👊👊
 
Hii chanzo ukipigwa ruksa kunywa pombe siku ile ile uliyochanjwa?
 
Niliandika kama mara 4 hivi kuhusu COVID-19 sasa wanaiita Delta Variant. Nikaandika kiufupi tu kuwa hatuishi kwenye dunia ya peke yetu, nikaendelea kuhusu ugonjwa huu kuingia nchini kutoka Uganda, hakuna aliyejali.

Sasa leo ITV wametangaza upungufu wa oxygen Bugando. Niliomba Serikali yetu tukufu ipige marufuku mikusanyiko yote mipirani, mikutanoni na hata kwenye mazishi, misiba, harusini, mikutano ya hadhara ya kisiasa na kidini n.k. Nikaandika hilo gonjwa la COVID-19 au Delta Variant linateketeza wenzetu Uganda, bado watu hawaamini.

Sasa hayawi hayawi yamekuwa. Nilishangaa sana na hata kupigiwa simu na marafiki zangu waliopo nje ya nchi wakishangaa sana kuona mechi ya Simba na Yanga kujaza watu wote wale elfu 55 sio maskhara. Narudia tena kutoa wito kwa wahusika kupiga marufuku mikusanyiko ya watu. Jamani jamani tunaishi dunia hiyo hiyo ya wenzetu tena waafrika wanaoathirika na kuteketea.

Tulete chanjo ya Pfizer kupitia mahospitali binafsi na ya serikali. Anayetaka achanje asiyetaka shauri lake ila tutashindwa hata kwenda sokoni na hizo jezi za Yanga na Simba zitageuka sanda.

EEH ALLAH TUNUSURU NA WANUSURU WAJA WAKO WOTE AFRIKA NA DUNIANI.SISI TUNAKIRI MBELE YAKO KUWA TUNAISHI KATIKA DUNIA HIYO HIYO WANAOISHI WENZETU ULIYOIUMBA WEWE MTUKUFU PEKEE. AMEEN.
Wacha kiingie mbona tushakizoea tu
 
Back
Top Bottom