Kivumishi Kielezi
JF-Expert Member
- Nov 1, 2019
- 1,028
- 2,451
Ndo maana nimekwambia, wewe ni daktari uchwara.tulowalaza wengi wote umri unaanzia 40+
Kati yao 70% wana magonjwa mengine nloyataja...na ndo wanaongoza kuondoka..kuliko wale ambao walikua hawana hayo.
Idadi ya Wagonjwa inazidi kuongezek uku mashine zikibakia vilevile....( utaelewa hapa kitakachotokea.).
Pia Madawa tunayotumia ni Gharama sana, Kwa mtu masikin kutoboa ni Tizi.
CHANJO NDIO NJIA PEKEE YA KUSAIDIA "WANYONGE"
tumeshampoteza Daktari mmoja.
Kwanza huna maadili ya kazi, lakini pili unaonekana wewe ni goigoi wa kitaaluma.
Sijui ni daktari wewe? Ama nesi?
Hata lugha yako tu inaonesha ina utoto na ujinga ndani yake.