Hii vipiAliyekwambia covid imetua mwanza leo nani? tangu wiki tatu zilizopita kuna cases za watu wanaopata mafua na kupoteza uwezo wa kuhisi harufu, labda kama wewe ndo umeona jambo geni. Karibu mwezi mzima wizara imeshatoa tahadhari za watu kujikinga na covid, au unataka waje wakufunge pingu za miguu. Aliyekwambia chanjo ya mabeberu ya Pfizer ndo itakulinda na kifo ni nani........yaani ulivyokurupuka kuleta hii taarifa ni kana kwamba kuna jambo geni...