Tetesi: Inasemekana Nape Nnauye kavuliwa Uanachama wa Chama cha Mapinduzi..

Status
Not open for further replies.
Hhahahahahahah vichwa vya bavicha



Hii ndo mifano ya mawazo waliobaki nayo.hahaha upinzani hawajielewi wanatingishwa na chama tawala indirect.
Ccm baba lenu
 
Teh😀 Teh😀 Teh😀
Kama nape kafukuzwa basi nimeamini mdomo huponza kichwa
Aende tu binafsi nilikuwa si mpendi toka avulunde kwenye wizara ya michezo
 
Ndio maana nimesema,hizi bombadia sio za kuzisimanga hizo
Mmmh, barafu umenena! Sikutanii kutolea mfano jambo hili lakini Jitahidi.

Mh. TL alielezea jinsi Ile bombadier moja ilivyozuiliwa huko ughaibuni, matokeo yake leo tunamwombea kwa Mola amponye. Wananchi wa Mtama waliotumia Mh. Nape fair a yake alitolea maelezo, Leo fununu zinatoka kuwa amekatwa uanachama!?

Tuombe isiwe kweli vinginevyo bombadier sio za kusimaNGWA!
 
Hee jamani hii sinema au kweli aisee hili jembe sio la kupoteza lina lima mpaka rami
 
UTUKUFU WA MUNGU NI WA AJABU SANA ! CCM INAUAWA NA WATU WAWILI TU AMBAO TAARIFA ZINAONYESHA KWAMBA WAO BINAFSI AMA WAZAZI WAO HAWAKUSHIRIKI KUIJENGA .
 
Alimsahau Mengi sasa amuendee tena aanze kuambatana nae akiwa anatoa Misaada
 
Msipindishe ukweli. Alieleza jinsi zilivyozuiwa au alichakarika kusaidia wazungu wazuie?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…