Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sijui..ngoja nijifunzeNaona watu tunachelewa sana 'kuusoma mchezo' wa awamu ya 5. Nape hawezi kushinda hata akiwa na kura nyingi kuliko wapinzani wake. Anayehesabu kura na kutangaza mshindi anajulikana. Akivuliwa uanachama, asahau ubunge ktk awamu ya 5.
Taarifa imetolewa kimafumbo na buku 7 mmoja almaarufu kama BarbarosaMkuu hii taarifa ya nape kufukuzwa Ccm nani kaitoa Tuanzie apo kwanza
Anafaa kuchukua nafasi ya Lowassa 2020, maana cha chetu hakina historia ya kurudia wagombea. Na ukizingatia tumaini lilikuwa limebakia kwa sasa si tumaini tenaDhalimu hahitaji kosa Mkuu ili kumvua mtu uanachama. Tusubiri kama ni kweli ila kama ni kweli chuki dhidi ya dhalimu ndani ya chama itazidi kuongezeka.
Hawa wakazi wa SodomaWanafiki wanachekelea View attachment 597255
Kuna habari zinazagaa huko FB kua kuna impacts ya kikao cha Leo embu mwenye Uzi wa maana aulete hapa pliz
Chadema mnajua kujipa matumaini hewa sana..nape ni usajili mzuri, naamini nyuma yake kuna watu wazito.. kama taarifa hizi ni za kweli basi ni wazi CCM wanajiandalia anguko kuu ambalo Nape, Kinana na JK walilizui 2015.. Uzoefu/ujanja wa JK akiwatumia vizuri Kinana na Nape iliwezekana kabisa kumdhibiti EL, ila kwa hali ninavyoiona na mbinu zilizopo sasa kule lumumba kumzuia EL na team yake itakuwa ngumu na nina uhakika lile kundi lingine la vijana wa Msoga Inc litasema isiwe shida kama noma na iwe noma nasi ngoja tuhamie Monduli hapo ndio patakuwa patamu,, maana watoto wa mjini mipango wanaijua ukichanganya na wazee wa ulipo tupo hahahahhahah aibu ya mwaka inakuja, mmmmh 2020 sijui kama tutafika..