Tetesi: Inasemekana Nape Nnauye kavuliwa Uanachama wa Chama cha Mapinduzi..

Tetesi: Inasemekana Nape Nnauye kavuliwa Uanachama wa Chama cha Mapinduzi..

Status
Not open for further replies.
Naona watu tunachelewa sana 'kuusoma mchezo' wa awamu ya 5. Nape hawezi kushinda hata akiwa na kura nyingi kuliko wapinzani wake. Anayehesabu kura na kutangaza mshindi anajulikana. Akivuliwa uanachama, asahau ubunge ktk awamu ya 5.
Mimi sijui..ngoja nijifunze
 
Wanafiki wanachekelea
Screenshot_20170927-132033.png
 
Dhalimu hahitaji kosa Mkuu ili kumvua mtu uanachama. Tusubiri kama ni kweli ila kama ni kweli chuki dhidi ya dhalimu ndani ya chama itazidi kuongezeka.
Anafaa kuchukua nafasi ya Lowassa 2020, maana cha chetu hakina historia ya kurudia wagombea. Na ukizingatia tumaini lilikuwa limebakia kwa sasa si tumaini tena
 
nape ni usajili mzuri, naamini nyuma yake kuna watu wazito.. kama taarifa hizi ni za kweli basi ni wazi CCM wanajiandalia anguko kuu ambalo Nape, Kinana na JK walilizui 2015.. Uzoefu/ujanja wa JK akiwatumia vizuri Kinana na Nape iliwezekana kabisa kumdhibiti EL, ila kwa hali ninavyoiona na mbinu zilizopo sasa kule lumumba kumzuia EL na team yake itakuwa ngumu na nina uhakika lile kundi lingine la vijana wa Msoga Inc litasema isiwe shida kama noma na iwe noma nasi ngoja tuhamie Monduli hapo ndio patakuwa patamu,, maana watoto wa mjini mipango wanaijua ukichanganya na wazee wa ulipo tupo hahahahhahah aibu ya mwaka inakuja, mmmmh 2020 sijui kama tutafika..
Chadema mnajua kujipa matumaini hewa sana..
 
Kama hivyo ndivyo hakika dhambi ya dhuruma ya haki imeshindwa kumuacha salaama hata goli la mkono halipo duuu!!! Karibu kwetu vita haishi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom