Tetesi: Inasemekana Nape Nnauye kavuliwa Uanachama wa Chama cha Mapinduzi..

Tetesi: Inasemekana Nape Nnauye kavuliwa Uanachama wa Chama cha Mapinduzi..

Status
Not open for further replies.
Sasa kama Nape the front liner anafanywa hivi na CCM, wewe kenge wa kawaida unayelipwa buku 7 per thread utafanywa nini kama sio kufukuzwa kwenye chama na kuliwa kiboga juu??

Akili kumkichwa.
Zitto mtu mzito CDM alifukuzwa, wewe Bavicha unayenunuliwa viroba thubutu kumpinga Mbowe au kuhoji fedha mlizomchangia Lissu zimetumikaje uone..

BAVICHA NA UVCCM wote ni takataka tu wala msichekane..
 
Muacheni kijana wa watu alifunga goli la mkono na kushawishi umma ni bao na akakubalika kulikoni!!
 
Kuna habari zinazagaa huko FB kua kuna impacts ya kikao cha Leo embu mwenye Uzi wa maana aulete hapa pliz
Kuna tetesi lakini siziamini, kwamba kwenye listi ya waliofukuzwa, mbali na Nape, kuna Bashe, Dialo, Msukuma, Ngeleja na Nyalandu.

Halafu eti kuna waliopewa onyo ambao ni mstaafu JK, Ridhiwani, na Membe.

Ila sijaamini ndo maana hata uzi sikuanzisha wala nini. Let's wait and see...
 
Nape ni mchezaji muhimu sana. Wamwachie Chadema wamkimbilie haraka sana. Anajua Siri na mbinu za goli la mkono.
 
VUTA-NKUVUTE , uko wapi?, Dodoma ama Dar (Ikulu)?,
hebu tupe Nyepesi nyepesi,
sisi wenye wasiwasi
Ili zipoe Nafsi
Kitoka ktk hizi tetesi
 
Kuna tetesi japo siziamini, kwamba kwenye listi ya waliofukuzwa, mbali na Nape, kuna Bashe, Dialo, Msukuma, Ngeleja na Nyalandu.

Halafu eti kuna waliopewa onyo ambao ni mstaafu JK, Ridhiwani, na Membe.

Ila sijaamini, especially kwa waliopewa onyo, ndo maana hata uzi sikuanzisha wala nini. Let's wait and see...
 
ngoja tusubiri, wajitahidi wasiwasahau wanaotajwatajwa kwenye maripoti ya vito madini na ukwasi wa taifa hili.
hasa na tume za awamu hii, hii pia itakuwa zawadi kubwa kwetu wapenzi wa utawala huu.
 
kama ni kweli,basi upinzani utamchukua atoe siri za uibaji wa kura hasa ule wa bao la mkono wasiwasi wangu ni kuwa sidhani kama atadumu bila kufuatwa na ile Nissan nyeupe na kundi la watu wasiojulikana.
 
Let's wait, akaunti iliyoleta tetesi nilishawahi kuhisi inatumiwa na aliyekuwa anaitwa Tandale one ambaye ni mbunge wa sasa kwenye jimbo alilokuwepo jamaa mmoja aliyekuwa anafananishwa na jakaya
Bagamoyo au mtama
Namaanisha January Makamba...bado una swali kujua yupo wap?

Hii habari imeandikwa masaa yamepita sasa na watu.. na majina yao yanazurura kwa screenshots Whatsapp..

read btn lines! andika yake tupu ht heading ni shiiiiida
 
Kuna tetesi lakini siziamini, kwamba kwenye listi ya waliofukuzwa, mbali na Nape, kuna Bashe, Dialo, Msukuma, Ngeleja na Nyalandu.

Halafu eti kuna waliopewa onyo ambao ni mstaafu JK, Ridhiwani, na Membe.

Ila sijaamini ndo maana hata uzi sikuanzisha wala nini. Let's wait and see...
Hilo la onyo inadhihirisha taarifa uliyoipata ina ukakasi bora hukupandisha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom